Hii mada ni hatari juzi juzi yalinikuta mtu katangaza ajira yupo mkoa mwingine alafu anataka mfanye kazi bila kumjua wala kufahamu office zao zilipo wala hakuna mkataba wowote kisa tu anaona upo na shida ya kazi ......uache hiyo tabia wewe mtu popote ulipo
Kuhusu biashara ndogo nafanya lakini naona mahitaji ni mengi kuliko kipato
Naomba nikuache maana dunia inamengi na mwenye shibe hamjui aliye nanjaa siwezi kukueleza matatizo yangu please kama wewe umepata usidharau wenzako
Habari wanaJf Mimi ni msichana miaka 25 ninaelimu ya diploma natafuta kazi yoyote itakayonipatia kipato halali naishi Dodoma.Mimi ni binti mwaminifu na mungu ni shahidi juu ya hilo.naomba kazi yoyote kama
kuuza duka la bidhaa zozote jumla au rejareja
Supermarket,sheli au duka la vipodozi...
Habari wapendwa nimerudi tena natafuta kazi yoyote itakayoniingizia kipato halali .Nina diploma ya development planning nipo tayari kufanya kazi yoyote
Naishi Dodoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.