Recent content by Queen Horse

  1. Queen Horse

    Wanawake mnatuchanganya sana

    Nadhan itakuja zamu ya wanaume wafupi wenye vitambi he he he heee
  2. Queen Horse

    Wanawake mnatuchanganya sana

    He he he he heeeeeee
  3. Queen Horse

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Hiv dawasco sie wakaz wa sinza D tumewakosea nini.. maji wiki ya tatu hakuna, tukiwapigia hamtupi majibu ya kueleweka...achen ukiritimba token huko mlikojichimbia nje mtatue kero za wananchi
  4. Queen Horse

    Wapi anapatikana Daktari Mzuri wa Watoto?

    Nenda mlimani dispensary chuo kikuu UDSM kuna daktari mzuri wa watoto anaitwa dr Chacha.. mi mwenyewe mwanangu alisumbuliwa kama hivyo nikazunguka hospital kama mbili hiv namshukuru mungu kwa mkono wa dr huyo alipona after 4days tu.. maana nilikuwa nakesha kumuangalia jinsi anavyopata tabu ya...
  5. Queen Horse

    Natamani kurudiana na mzazi mwenzangu ila yeye hataki

    Kwa kweli we move on tu.. usilazimishe vitu ambavyo inawezekana huko mbele ukajuta.. hakuna hisia nzuri kama kujua unaempenda nae Yuko kwa ajili yako.. hao unaowakataa inawezekana mmoja wapo ndo kaumbwa kwa ajili yako.. usijinyime nafasi ya kupata furaha, siku hazisimami na maisha ni mafupi hebu...
  6. Queen Horse

    Weekend story: A Woman of the people

    Da lara umejua kukitia kitumbua cha watu mchanga ha ha ha maria hebu kuja upesi tupate ladha sie wanazengo
  7. Queen Horse

    Weekend story: A Woman of the people

    Hakyanani sisi wanawake tunapitia maswahibu ha ha haaaa yaan nimecheka kama mazuri.. wee Sam wewe mungu anakuonaaa ha ha haaa
  8. Queen Horse

    Weekend story: A Woman of the people

    Da lara mi napokupendea hapo pa kwenye kunipa elimu bila ada.. hii advice nshaiandika kwenye notebook.. can't wait for next episode
  9. Queen Horse

    Foundation powder nzuri kwa black skin

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania, Wapendwa naomba msaada wa kujua foundation powder nzuri kwa sie wenye ngozi za kiafrika,gharama zake na sehemu nayoweza kupata bidhaa hiyo.. Shukran
  10. Queen Horse

    Hakuna mama mkwe anaempenda mkwe wake 100%

    Hilo ndo analolitaka huo wema wako kwake anauona hauna maana if kama humpi nafasi ya kukaa chemba na mwanae.. kwan unaumia nini siku baba jairo akiwa nyumban ukatafta kasafari ka uongo na kweli ka masaa hata kumi ukawaacha wawili tu nyumban wapige story zao....ukijenga hayo mazoea wala hupati...
  11. Queen Horse

    Hakuna mama mkwe anaempenda mkwe wake 100%

    Mi nadhan sisi wadada tunaoolewa ndo tuna matatizo kuweka negative perspective kwa wamama wa waume zetu/mawifi/mashemeji na hii nadhan inatokana na kukaririshwa na jamii inayotuzunguka kiasi unakuta mtu anajiandaa kabisa kutoa negative reaction kwa huo upande lengwa...tunawapa wakat mgumu sana...
  12. Queen Horse

    Nipo Mashakani, sidhani kama bado napendwa

    He he heeeee kiruuuuu!
  13. Queen Horse

    uso kwa uso na Boss de La Boss la JF. Mapenzi ni pesa

    Tuachane na yotee I miss u my lara1 ulinifanya niwe addicted na weekend story kwa kweli
Back
Top Bottom