Recent content by Quart

  1. Quart

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Hizi email zinatumwa mara moja kwa kada zote au ni kwa mafungu,mwenye uzoefu
  2. Quart

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Ndo taasisi gani hii
  3. Quart

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa oral TRA lini yatatangazwa?

    Leo kazi ipo kwa kweli.Matokeo tuyatarajie usiku mkubwa,ndo utamaduni wao TRA.
  4. Quart

    JamiiForums Tanzania Hivi matokeo ya Oral TRA Ni Leo eeee?

    Kwani matokeo tayari?
  5. Quart

    JamiiForums Tanzania Hivi matokeo ya Oral TRA Ni Leo eeee?

    Hiyo tarehe 18 uliitoa wapi Mkuu
  6. Quart

    JamiiForums Tanzania Kutoboa oral ya TRA-2025

    Pole Mkuu,ili tunaomba utusaidie maswali uliyoulizwa itusaidie kujipanga wenye oral zinazoendelea Mimi najiandaa kufanya kesho Jumatano
  7. Quart

    JamiiForums Tanzania GE2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

    ''I can't breath' In Baba Jesca's voice.Lissu spana ziendelee
  8. Quart

    JamiiForums Tanzania TPA yakamata dhahabu yenye thamani ya milioni 500 katika bandari ya Dar

    Ikiwa yote haya mnayotutangazia yameshindwa kuwa na impact ya moja kwa moja kwenye standard ya maisha ya watu basi tuna kila sababu ya kuiona kama mikwara tu.Eti tupo kwenye kipindi cha mpito!!!!!!!!!! Sasa tukiwa kwenye kipindi cha mpito ndo hali za maisha ya watu ziwe mbaya mara mbili ya...
  9. Quart

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Sweden yahamishia Tanzania mradi wa umeme wa upepo wa Tirioni 5 kutoka nchini Kenya

    Waje kwa tahadhari maana huku tuna Mr.Unpredictable vinginevyo watakumbana na msururu wa tume.
  10. Quart

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Wa Watu kama wewe mnatia kichefuchefu.Vyombo vipi vya usalama vifanye uchunguzi???
  11. Quart

    JamiiForums Tanzania Commentary Kuhusu Video ya Tundu Lissu Inayosambazwa

    Mpaka dakika hii bado nazifuatilia siasa za nchi hii kwa sababu ya mtu mmoja tu..."Tundu Antipas Lissu". Nam appreciate mno huyu bwana.Amebarikiwa kiukweli.Hata nyie mnaojaribu kuleta unafiki katika hili naamini nafsi zenu zinawasuta.
  12. Quart

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Odds 5.7 usiku huu kwenye NBA na Uchaguzi wa USA Hillary Clinton 2016 winning candidate-1.20 L.A clippers v Detroit Pistons-1(1.22) Chicago Bulls v Orlando Magic-1(1.30) Philadephia v Utah Jazz- (3.00) Kila la heri kwa tutakaekuwa pamoja
  13. Quart

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sure nimeona mkuu.Maneno yako yametimia.Chicago wana lack consistency sio wa kuwaamini.Leo nimeamua kumfuata tena San Antonio,,nikampa pia Le Mans Basket(France LNB) na Budocost(ABA) league.Sijui unazionaje.
  14. Quart

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ni dhahiri kabisa kwamba kwa sasa Madrid wapo stronger zaidi ya Barca.But najaribu kutumia home field advantage kwa Barcelona japo hiyo odd ya 2.05 ya Real hata mimi inanitamanisha. Usisahau kumwongeza Brose Baskets...anacheza na Bayern the same date
Back
Top Bottom