Recent content by quantum number

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Wallace Karia madarakani

    huyu msomali ni mufilis kabsa
  2. Q

    JamiiForums Tanzania VODACOM mmeanza kunyoosha mikono kwa jeuri zenu!

    nko zangu halotel napata gb1 kwa buku na madk kibao..internet ya kas fresh
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mrakibu wa Polisi, Kinondoni akata rufaa dhidi ya hukumu yake ya kunyongwa hadi kufa

    daaah hii kesi ilitiksa sana miaka ile..et akina zombe wakatoka dismis.. daaaah iliumiza sana..wafanya biashara wamekamatwa sinza..wamepelekwa mabwepande kuuliwa afu waliowapeleka uko na kuwaua wanatoka dismis... daaaah inaumiza sana
  4. Q

    JamiiForums Tanzania TBC sijui nani kawaroga

    km kuna mtu anafaham jins ya kufuta Chanel kwny king'amuz plz naomba anijuze..siitak tbc
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Nimeona korosho ina kichwa kama cha mtu... one maajabu haya

    sisi watu wa kusin serikali imetuangusha sana kwny korosho mcm uliopta kwan mpk iv sasa watu wengi bhado hawajalipwa...mbaya zaid wabunge wetu wakitutetea chama fulan knawapga mkwara kwamba knawasubr 2020 kiwakate..loooooh
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Gwajima anapoamua kuwalisha wenzake 'pilau'

    gwajiboy anatuona watz sisi wajinga sana..et anatulazmisha tuione ile video ni fake ..daaaah tz noumer
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Kama kweli nguzo moja ya umeme Tanesco (Electric Tower) ina zaidi ya thamani ya 400mil basi watanzania inabidi tupandishiwe unit za umeme

    million 400???tuwe serious kdg tuache utan Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Justine Kasusura: Mtanzania aliyefungwa "kwa kupiga pesa ndefu" ktk historia ya Tanzania na kisha kupangua kifungo bila wakili Mahakama ya Rufaa!!

    huyu kasusura ni kweli aliiba hzo pesa sema tyuuu udhaifu wa sheria zetu ndo ukamfanya atoke dismiss Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Halotel ni nani aliyewaroga?

    uku kwetu masas halotel iko fresh ina speed but wameanza kula kwa kas mb zao hiz..tofaut na zaman .. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom