Recent content by qualalumpagrinder

  1. qualalumpagrinder

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Kilimo cha Tikiti Sugar Queen F1

    asante sana mkuu! nimepata elimu kubwa
  2. qualalumpagrinder

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutaja Ni biashara gani umesikia mtu katajirika nayo siku za hv karibuni?

    Hiyo namba moko wahuni wanatembea nayo sana....tena copy za wakubwa
  3. qualalumpagrinder

    JamiiForums Tanzania Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

    Punguza makasiriko mkuu wangu....mwenyewe sijapata bure kama huna hela njoo DM nikupe bure.
  4. qualalumpagrinder

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tatizo langu la kukosa choo kuendelea nimepata suluhisho hili

    Bisacodyl ni mkombozi sana...tembe kumi nyingi sana mkuu!! Piga menu kama kawa ila kila siku baada ya chakula cha usiku meza tembe mbili na maji mengi...asubuhi unaflash kirahisi wala sio kuharisha utapona mkuu
  5. qualalumpagrinder

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa kwenye biashara yangu ya huduma za kifedha (Uwakala)

    mkuu ziweke tufaidike...
  6. qualalumpagrinder

    JamiiForums Tanzania NATAKA KUAGIZA MZIGO CHINA,ILA NASHINDWA KUFANYA MALIPO

    mr.general uko too general😂😂 unataka kulipia wapi? unatumia app gani? fafanua vizuri
  7. qualalumpagrinder

    JamiiForums Tanzania Tunaoamini hakuna kinachoshindikana tuna jambo la kuongea

    shukrani sana mkuu umeniongezea kitu
  8. qualalumpagrinder

    JamiiForums Tanzania Tunaoamini hakuna kinachoshindikana tuna jambo la kuongea

    wanakuwa wamekaushwa
  9. qualalumpagrinder

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mwamba sijaona unamwaga sifa za Samia!! au hujaikubali hii pisi ya Khartoum?
  10. qualalumpagrinder

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Limesimamia ukucha!! utamu
  11. qualalumpagrinder

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    kuna series inaitwa MPAKANI naona inaelezea ishu za Kenya na uvamizi kwenye mipaka Ambaye ashaicheki naomba maelezo ni kali au ?
Back
Top Bottom