Maana yake vyuo vyote ni sawa tuu muhasibu anapimwa kwa CPA sio degree alisoma wapi, so nenda kokote. Usifikiri kama ukisoma Mzumbe BAF utapata priority kwenye ajira kumshinda aliyesoma Accounting TEKU lakini ana CPA
Nina hisi hicho ila anadai mtoto akinyonya anatapika hivyo hospitali wamemkataza kunyonyesha na anasema kaambiwa ni jambo la kawaida, ila me i doubt ndio maana nimejaribu kuuliza humu kama kuna mtu ashawahi sikia hii kitu.
Hello
Kwa wataalamu wa afya ningpenda kujua ni sababu gani zinamfanya mzazi akatazwe kunyonyesha mtoto ukiacha ya HIV ambayo ndio pekee naifahamu.
Leo nimeshangazwa kuona mzazi hanyonyeshi tena mtoto sababu anasema maziwa yake ni machafu hivyo ameshauriwa ampe mwanae maziwa ya ng'ombe au kopo...
Vinapatikana kwenye maduka ya Elite book stores wapo Mlimani city,Mbezi beach na Quality Centre kwa sh elfu 10 tu. Nimekipata nimefurahi sana
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app