Recent content by Qj_

  1. Qj_

    Mwaka mmoja wa kusoma Kichina unaweza kunisaidia nikakijua na kuendelea masomo yangu?

    Inabidi asome kwa bidii maana 天津大学 Tianjin University wachina wanapenda kuita 天大 tianda is one among of the best University in China so inabidi tu asome kwa bidii then after one year Chinese language course inatakiwa afanye HSK level 4 na afaulu then ndio anaanza kusoma major yake.
  2. Qj_

    Mwaka mmoja wa kusoma Kichina unaweza kunisaidia nikakijua na kuendelea masomo yangu?

    Pia hakikisha unapata kitabu cha HSK 1 , kama upo Dar es salaam nenda pale UDSM Confucius institute pia kama upo Dodoma nenda pale UDOM Confucius institute
  3. Qj_

    Mdada wa kazi anahitajika Dodoma

    Bado hajapatikana
  4. Qj_

    Mdada wa kazi anahitajika Dodoma

    0612912296 (eneo la kazi ni Kisasa,Dodoma)
  5. Qj_

    INAUZWA Excavator (CAT 323D) inauzwa

    Generator pia lipo linauzwa
  6. Qj_

    INAUZWA Excavator (CAT 323D) inauzwa

    Pia kuna mota na pump ya kuvutia maji, pia zinauzwa
  7. Qj_

    INAUZWA Excavator (CAT 323D) inauzwa

    323D kwa Million 95? are you sure?
  8. Qj_

    INAUZWA Excavator (CAT 323D) inauzwa

    Imefanya kazi masaa 62356
  9. Qj_

    INAUZWA Excavator (CAT 323D) inauzwa

    Excavator inauzwa Million 250 , kwasasa ipo Makumbusho, kwa anae hitaji kuja kuiona tuwasiliane. au pia kama unataka kuikodi pia tuwasiliane, 0764531080 NB: Hii Excavator sio yangu ni ya Mchina so namsaidia kumtafutia wateja kwasababu yeye haongei lugha yoyote tofauti na kichina. Lakini pia...
  10. Qj_

    Jifunze lugha ya kichina - Darasa huru

    Leo tutajifunza majina ya wanyama wanaofugwa majumbani. Wanyama dòng wù 动物 Sungura tù zi 兔子 Kuku mŭ jī 母鸡 Jogoo gōng jī 公鸡 Farasi mǎ 马 Kifaranga xiăo jī 小鸡 Nguruwe zhū 猪 Ng'ombe niú 牛 Kondoo mián yáng 绵羊 Mbuzi shān yáng 山羊 Lama měi zhōu tuó 美洲驼 Punda l锟斤拷 驴 Ngamia luò tuó 骆驼 Nyau...
  11. Qj_

    Jifunze lugha ya kichina - Darasa huru

    leo tutajifunza siku za wiki Siku za wikixīng qī zhòng de tiān 星期中的天 Jumatatuzhōu yī 周一 Jumannezhōu èr 周二 Jumatanozhōu sān 周三 Alhamisizhōu sì 周四 Ijumaazhōu wŭ 周五 Jumamosizhōu liù 周六 Jumapilizhōu rì 周日 Sikutiān 天 Wikizhōu 周 Wikendizhōu mò 周末 Frank,B Mwalimu wa lugha ya kichina...
Back
Top Bottom