Watu wanakosa imani na chombo hicho hicho kwa sbbu mengi mabaya yanayosemwa juu ya viongozi wetu hayachukuliwi hatua hasa wanasiasa viongozi ngazi za juu, kama chombo hicho ni kutafta na kuhakiki ukweli wa mambo tunataka tuoni report/vidhibitisho hizo mahakamani watu mafisadi/majizi/wahujumu...
NIni maana ya separation of power? Theres people paid for that, usalama wa taifa sio tu kumlinda raisi hata kuchunguza mienendo ya vingozi hao kwa maslahi ya taifa, {People dont have source bt u can snicth and put these to prosecutors with evidence,
"Mulah mohamed na Osama bin laden walikuwa marafiki . wakaamua kuchanganya damu kwa kupeana watoto wao,sasa kwa nn huyu jamaa wasipeane watoto wao kama zawadi badala yake wapeane barabara zetu?
kuna roads nyingi hazina majina kama vile kkoo via kigogo ubungoni mpya haina jina , kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.