Wana wa Israel waliwalalamikia mitume yao hvyhvy
Same to Gaddafi na mema yote yake waangalie sshv
Hata uncle Magu nae walianza hvyhvy vyuma vmekaza na blah blah kibao sshv anakumbukwa mno
Na huyu nae ndo hvyhvy ndo kawaida ya binadamu tulivyo ,,tamaa, chuki, Mambo yawe yamenyooka mda wote...
Nature ya dunia tumeumbiwa furaha na majaribu hayo yoote no majaribu
Hukuumbwa burebure uje ule starehe tu hapana na motihani pia tofautitofauti
Yote hayo ni kumpima ambae ni mnyenyekevu kwake
Ntaongeza mengine
Wengi naona mnaongelea negatives of EMs lkn positives zake zipo kibao.
And vice versa is true kwa Kayumba
Kotekote .
Kwa ufupi kila mbuzi atakula urefu wa kamba yake. Huwez EMs achana nazo. Mpeleke kayumba.
💯 malezi ya mtoto ni ya mzazi na sio shule, japo nayo inachangia kwa asilimia kadhaa...
Binafsi nmeaoma private mpka chuo na nafanya Mambo tofauti na nlichosomea na wanangu Mungu akipenda watapita njia hyohyo no matter what ata aje kua Nan as long as amepata exposure nyng ya dunia ya Sasa. Itamsaidia kwa namna nyengine
Kama zipo usimuangaishe dgo mpe elimu nzuri ya mazingira...
Namshukuru Mungu sijawahi kupata hzo chunusi kwetu wote upande wa mzee na bimkubwa Kaka Dada wote hao hakuna aliewahi kupata
All in all naona sometimes ni maswala ya genetics ya ukoo flani
Ni urithi tu
Hali ya mleta mada nai feel sna. Sabab mi mwenyewe nlishapitia hko for 9yrs (kiroho & kienyeji & hospitals ) vyote vilidunda nlichanganyikiwa kabisa kila kitu hakiendi mwili mmbovu (unawaka Moto, ganzi, vitu vinatembea mwili mzima, unahisi Kuna Kama 100kg mgongoni)
rehma zake Mungu nlipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.