Recent content by Qambos

  1. Q

    JamiiForums Tanzania GE2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

    Mbowe ndiyo jasusi,tayari amekiua chama,,habari hizi ndizo za kwelii!!!!!!!!! kumbukeni mrema alivyovuma,,,,,,Hela mbaya!!!!!
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

    Mbowe amenunuliwa na ccm,kwa kumleta lowasa,kubomoa Upinzani,Inawezekana LOWASA ametumwa na CCM kuua upinzani,Mbowe kwa uroho wa Hela amekiuza chama,Hafai huyo mbowe,anapenda hela kuliko maslahi ya watanzania
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkubwa wanukia nchini

    Taarifa ya asubuhi inasema waalimu watalipwa madai yao yote,ikiwapo malimbikizo ya mishahara yao,JK Amesoma alama za nyakati,uchaguz umekaribia!!!!!
  4. Q

    JamiiForums Tanzania ACT-Kigoma wararuana kisa ubunge

    Tatizo la ZZK, ni uchu wa madaraka,
Back
Top Bottom