ACT-Kigoma wararuana kisa ubunge

ACT-Kigoma wararuana kisa ubunge

Eti anasema Kigoma kas walimpa kura chache 2010 coz ya dini yake,nao wakamwuliza 2005 walikuwa hawaijui dini yke ?na kuahidi kumnyima kura 2015 that y Zitto kaamua kwenda kwa wenzake

Sasa kama ndo hivyo kwani Kigoma mjini hakuna wakristo? Udini utammaliza aendelee kuukumbatia tu.
 
Sasa kama ndo hivyo kwani Kigoma mjini hakuna wakristo? Udini utammaliza aendelee kuukumbatia tu.

Sikuzote Zitto aliamini yeye anauwezo mkubwa wa kufikiri kwa niaba ya mkoa,sasa kuibuka kwa wasomi kama Dr Yaled Mfubusa jimboni kwake kumemtikisa vibaya that y anaweweseka
 
kimsingi kigoma mjini hatuongozwi na wa2 wenye elimu ndogo....kna wa2 kibao wenye elimu zao ...when it comes to decision making huyo mogha hatokuwa na uwezo wa maamuzi yanayohitaji weledi....xo akae pembeni asome kwanza
 
Elimu,dini,kabila,umri na dini,pesa si vigezo vya kumpima kiongozi bora
 
Asigombee ubunge ale wapi? Zito yeye dili zake huwa anapigia kule mjengoni jamani! atakufa njaa!!
 
kile chama cha kuanzia Boss hadi mfagiaji ni wasaliti wa vyama vingine unategemea serekali hapo! genge la wahunii hiloo!!..
 
Et anajifananisha na mahathir mohamed? Mahathir hakuwahi kuwa mamluki au msaliti
 
Lete chanzo cha habari yako vinginevyo haya ni maigizo na ngonjera za kawaida tulizozoea kuzisikia kutoka kwa watu wa aina ya Nicholaus, ningeshangaa kama ungeandika tofauti.

Zito anatosha kigoma mjini na ninaamini watu wa kigoma mjini hawatafanya makosa.
Wapiga kura kigoma mjini tuleteeni jembe letu bungeni tuone ladha halisi ya bunge.
 
Back
Top Bottom