Recent content by Python_

  1. Python_

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangiswa Mwanza

    Kama unahitaji nyumba ya kupanga mkolani Mwanza hujachelewa. Ni nyumba yenye chumba kimoja cha kulala(Master) na sebule(Ipo ndani ya Geti), vyumba ni vikubwa, unalipia 120,000 kwa mwezi(kuanzia Miezi sita). Umbali kutoka main road ni 1KM, karibu sana. Kwa mawasiliano piga 0622071858
  2. Python_

    JamiiForums Tanzania House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Nyumba inapangishwa mwanza mkolani, bei ni 120,000 kwa mwezi unalipa kuanzia miezi sita sifa za nyumba -Chumba kimoja cha kulala (Master) -sebule Vyumba ni vikubwa Umbali toka main road ni 1KM Kwa mawasiliano piga 0622071858
  3. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimrudishie hela yake au nikaushe tu?

    huyo hafai kabisa ..kama mke mtarajiwa achana nae lkn kama demu tu..mpe hela yake
  4. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea wanajua kupenda mwanamke, unaweza kuhisi upo sayari ya Pluto

    duuh..mzee umetililika zote nondo
  5. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuachana(kumbwaga) mwanamke kwa amani

    Point kabisa aise
  6. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kumlipia mchepuko wako kodi ya nyumba?

    Fact kabisa
  7. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

    Wavulana shida kwelkwel 🤣🤣
  8. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu vya kufanya na kuepuka unapomtumia meseji Mwanamke

    Fact
  9. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

    Hukuwa na plan ya kumla how come unatumia bill yote hiyo 🤣🤣🤣🤣
  10. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitakuja kumlazimisha tena Mwanamke labda akiamua kunipenda yeye aje mwenyewe kunitongoza

    Anachanganya mambo..
  11. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitakuja kumlazimisha tena Mwanamke labda akiamua kunipenda yeye aje mwenyewe kunitongoza

    Being handsome sio kigezo cha kupata kila mwanamke kuna mnganiko wa vtu ving sana kuweza kuwin mwanamke ie Confidence,Personality nk .......
  12. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makosa kwa kijana anapomtumia ujumbe mfupi mwanamke

    Fact....!!!
  13. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umegharamia bill zote ila bado anataka umlipe...

    Duuh shida kwel yaani.200K
  14. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kuona status yangu nakunywa bia, amenipenda kwa kasi ya ajabu

    Inaonekana na yeye ni mtumiaji mzuri sana. Ameona fursa jipange 🤣🤣
  15. Python_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama huna hela Usikubali kuvuka miaka 35 bila kuoa au kuwa na mtoto

    Hakuna ukwel wowote...mkuu
Back
Top Bottom