House4Rent Nyumba inapangiswa Mwanza

Python_

Member
May 30, 2021
16
11
Kama unahitaji nyumba ya kupanga mkolani Mwanza hujachelewa.

Ni nyumba yenye chumba kimoja cha kulala(Master) na sebule(Ipo ndani ya Geti), vyumba ni vikubwa, unalipia 120,000 kwa mwezi(kuanzia Miezi sita).

Umbali kutoka main road ni 1KM, karibu sana.

Kwa mawasiliano piga 0622071858
 
Mwanza Maisha rahisi sana kwa Dar kwa hio nyumba andaa 200-250k kama imenyooka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom