Recent content by Python Tz

  1. P

    KERO Responded Shule ya Msingi Kishangazi (Tanga) ina Mwalimu mmoja, wengine wanashinda tu mtaani

    Mungu akubariki Kiongozi, Nilisha wahi kuisha Maeneo hayo ... Tatizo lipatiwe Ufumbuzi kwakwel Ni changamoto kwa Vijana wetu.
  2. P

    God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Sawa best 🙏✨ ngoja nikuweke vizuri upande wa kiroho kuhusu kwa nini Mungu alimruhusu Yuda kumsaliti Yesu. 1. Sehemu ya mpango wa Mungu wa wokovu Kabla hata Yuda hajazaliwa, maandiko yalikuwa yametabiri juu ya kusalitiwa kwa Yesu (Zaburi 41:9, Isaya 53). Ili wokovu utimie, Yesu alipaswa...
  3. P

    Mafuta ya Kula yaliyoathiri Wakazi wa Yombo Dovya (Temeke) yadhibitiwe yasisambae zaidi na Je, waathirika hawasaidiwi?

    Huyo mama kweny video ni Shangaz yang,Nilipita kumpa pole lakin hali yake y kiuchumi siyo nzuri,anasema walipelekwa Hospital mara moja(1) lakin Afya zao hazijatengemaa , kiugwana tu Serikali haijachukulia hili swala kiuzito waathilika ni wengi na Sumu hiyo ni hatari kwa madhara kwa waliyotumia...
  4. P

    KERO Ongezeko la mabanda ya playstation /video games tishio kwa watoto wetu, mamlaka zilitizame hili kuwanusuru

    Swala la Kuzuia hilo jambo ni kumkosea/kumnyima mtoto Furaha na uhuru sababu watoto wanazuiw kufanya vitu vingi mfano movie nyingi hawastahili kuangalia , Mfano kuna Huyu mwakatobe wa hapa Bongo Anatumia lugha chafu na watoto wanakalili . Me naona wawekewe muda maalum tu.
  5. P

    KERO Ubovu wa barabara Wilaya ya Temeke; Barabara kutoka Kituo cha Polisi Chang'ombe hadi Buza ina mashimo 46!

    Home Boy Tunashukur kwa Kutusaidia kusema ... Naamini litafanyiw kazi
  6. P

    Changamoto ya foleni toka Mbagala Rangi 3 hadi Kongowe-Dsm

    Hilo Tatizo lilinikwamisha siku moja Wahusika Hawaoni Adha hii maana hiyo ndo Barabar Kuu kwa upande wa Kusini Nadhani .
Back
Top Bottom