Recent content by py thon

  1. py thon

    Mitambo ya THAAD ishaanza kufanya kazi Israel ,huku Hezbollah wakisema wataanza kushambulia kwa makombola ya kisasa zaidi

    leo ndio mtambo wa ulinzi wa anga wa THAAD unaanza kufanya kazi Israel. Huku kundi la Hezbollah wakijibu kauli ya msemaji wa Idf aliyesema watashambulia benki na mali zinazohusiana na Hezbollah,, Kundi la Hezbollah wamesema watarusha makombola ambayo hawajaanza kuyatumia Tel Aviv huku...
  2. py thon

    Maariv Media Israel : Iran yapokea SU 35 fighter jets, S-400 Air defense System kutoka Russia na laser Anti - drone system silent Hunter" kutoka China

    Iran hasaidiwi bali ananunua Lakini israel anasaidiwa kwa kupewa bure na msaada wa bajeti ya kij3shi
  3. py thon

    Baada ya mfumo wa ulinzi wa THAAD kufungwa Israel ni bora raia wa iran kuhama nchi yao bila shuruti

    Kipindi Iran wanalipiza kifo cha Gen soleymani kwa kuzipiga na kuchakaza kambi za marekani zilizokuwa jordan ,syria na Iraq Mbona hizo THAAd hazikuwasaidia
  4. py thon

    Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

    Zili target military camps na mossad HQ Hakupeleka kwa raia hivyo ndivyo vita hupiganwa na sio kushusha makombora mitaani
  5. py thon

    Umemtambua yupi kwenye hii legendary picha

    Challenge kwenu wadau
  6. py thon

    Mkuu wa wilaya Temeke anataka kuua uwanja wa mpira na kuweka mashimo ya maji taka kwenye makazi ya watu

    Kwahiyo kuweka madampo ya maji taka,mavi kwenye open space ni sahihi tena kwenye makazi
  7. py thon

    Mkuu wa wilaya Temeke anataka kuua uwanja wa mpira na kuweka mashimo ya maji taka kwenye makazi ya watu

    Serikali ya CCM chini ya Rais Samia inajitahidi kuipa vipaumbele Simba na Yanga kwa kuwaahidi million 10 kwa kila goli lakini inaendelea kuua vipaji kwa watoto Eneo la Mtoni Mashine ya maji /Mtongani Mkuu wa wilaya pamoja na halmashauri wapo kwenye mpango wa kuua uwanja wa mpira au open space...
  8. py thon

    Refa aliyechezesha leo alikuwa sahihi kwa mujibu wa sheria

    Refa aliyechezesha mechi kati ya Simba na Singida alikuwa sahihi kwa asilimia mia. Fifa ilitambulisha Sheria mpya kwenye mashindano ya world cup yaliyofanyika Qatar, Moja ya Sheria waliotambulisha ni kwamba dakika za nyongeza zitaongezwa kwa kadri muda wa mchezo ulivyosimama na pia kwenye...
  9. py thon

    Kelvin John (Mbape) alimkosea nini coach Adel Amrouch?

    Kwa uongo haujambo
  10. py thon

    Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Kuna mwamba ana kesi nzito lkn huu ni mwaka hajakamatwa anaishi kiculture sana huyo jamaa.. sijui huyo Rasta alikuwa haishi kiculture
  11. py thon

    Maskani Fama Gusta-Mikoroshini - Temeke...

    Magomba kafariki mwaka 2016 na sadam amefariki 2019
  12. py thon

    Mkasa wa msanii Omary Omary na imamu wa msikiti ambaye ni baba yake

    Saidi dabani hakufa wizini japo alikuwa mwizi,alifia kazini akiwa kama kondakta Ganda la chungwa ndio ilisababisha kifo chake wakati anataka adandie daladala yake aliteleza na kukanyagwa na gari
  13. py thon

    Msaada: Natafuta Mwalimu mzuri wa Karate Dar

    Ukitaka ujifunze karate vizuri soma chini ya walimu waliofuzu namaanisha masensei Kuna Mmoja sensei Yahya mgeni dojo lake lipo ilala bungoni ccm,gongo la mboto na ubungo Kuna sensei kheri kivuli yupo shule ya uhuru kkoo Na wengineo
  14. py thon

    Wambura hakujua anapambana na nani saizi muda si mrefu ataanza kujuta

    Ukweli mchungu Karia ana asilimia kubwa ya kushinda ,kila la heri Ally - JamiiForums Michael Richard Wambura alikuwa hajui anapambana na nguvu gani.Kipindi cha uchaguzi nilitamani sana Ally Mayay ashinde na wapenda soka wote walitamani iwe hivyo lkn niliandika uzi humu 90% atashinda karia kwa...
  15. py thon

    Ifahamu Al Ahly watakaomenyana naSsimba SC

    makombe 3 ya ulaya mfululizo ..bingwa mtetezi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom