Recent content by pweza11

  1. P

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ni mbunge yupi atamrithi Kafulila kwa kufichua ufisadi Serikalini?

    Hatujamwacha Nae yumo tukisema tutaje wote tutakesha kama waitala yule wa ukonga nae machachari
  2. P

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ni mbunge yupi atamrithi Kafulila kwa kufichua ufisadi Serikalini?

    Litakua na mvuto kwakua kuna sura mpya nyingi sana zingine hatuzijui zinakujaje. Lakin zaidi wengi walioangushwa hawakua na challenge so tutegemee mengi mapya.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ni mbunge yupi atamrithi Kafulila kwa kufichua ufisadi Serikalini?

    CCM walikuwepo kina Deo . Ester na Lembeli kwa sasa tuone nan atakuja ukizingatia wananchi siku hizi hawalembi so kila mtu atafanya kazi sasa
  4. P

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Ni mbunge yupi atamrithi Kafulila kwa kufichua ufisadi Serikalini?

    Kubenea Amekuja kuwashika
  5. P

    JamiiForums Tanzania Vifaa kama BVR vyanaswa vikiandikisha Dar

    Soma Magazeti ya Leo Taarifa ipo
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nimeamua kuchoma sindano kwa sasa naona Tiba ya vidonge imekua sugu mwilini.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Naomba vyombo vya Dola kuwa makini na usanii mpya wa kuchangia Lowassa

    Yan Magamba nao wataiga. Kila kitu wanaiga tuuu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Mapenzi: Kuna wanaume wanaopendwa na kukataa

    Na sisi tuna vigezo vyetu ujueee
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

    Ianze lini wakat ilikuwepo toka mwaka 1984
  10. P

    JamiiForums Tanzania Vigezo mbadala 10 vya ushindi kwa John Pombe Magufuli

    Kuna ambao wamehama wanajulikana kama viongoz na vipi wanachama usiowajua? Na vip ambao hawajitangaza lakin tutaonana tar 25?
  11. P

    JamiiForums Tanzania Vigezo mbadala 10 vya ushindi kwa John Pombe Magufuli

    Kingine kat ya wanachama hao mil 8 una uhakika wangap wamehama had leo? Wangap wameondoka na lowasa?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Vigezo mbadala 10 vya ushindi kwa John Pombe Magufuli

    Nitajie hata jimbo moja walilopita bila kupingwa
  13. P

    JamiiForums Tanzania Vigezo mbadala 10 vya ushindi kwa John Pombe Magufuli

    Hayo saba ni yapi wakat wamekata rufaa? Unajua unachokiandika?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nini tiba sahihi ya homa. Maana naweza umwa maralia au Typhoid au U.T.I lakin baada ya kutibia homa inabak pale pale
  15. P

    JamiiForums Tanzania Lowassa aachiwa zigo la kujinadi huku akiwa hana uwezo!

    Alienda na majina yake mfukoni
Back
Top Bottom