Siku moja huko maeneo ya hifadhi ya Ngorongoro wamasai waliiba simu ya mmoja wa wahifadhi wakaondoka nayo. Mhusika alipokuwa anaitafuta simu akawa anabip bila kupokelewa. Siku iliyofuata akawakamata wamasi wawili wakiwa na simu hiyo na kuwapeleka mahakani. Hakimu alipouliza ni kweli mlitenda...
Mtu moja mcha Mungu alipewa nafasi ya kuomba kitu chochote kwa Mungu kwa sharti kuwa atakachoomba rafiki yake atapewa mara mbili yake. Jamaa akafikiri akaona akiomba kitu chochote kizuri mwenzake atamzidi yeye. Basi akaomba ang'olewe jicho ili mwenzake ang'olewe yote mawili. Akawa chongo na...
mbinu yao mojawapo ni kuwachaganya wapiga kura ili wizi wa kura uwe mrahisi. Mf wapiga kura kutoona majina yao kwenye vituo vyao vya kupigia kura. Haijalishi ccm imeshindwa kwenye kura lakini watamtangaza mgombea wao kwa nguvu. Ndipo hapo wengine roho zinawauma zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.