Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa Mchungaji Mtikila. Tangulia Mtanganyika. Ukionana na Edward Sokoine na JK Nyerere waambie Uchaguzi wa Tanzania ni Oktoba 25.
Mgombea urais wa UKAWA kupitia Chadema, Edward Lowassa Agosti 16 siku ya Jumapili atawasili Mwanza kwa ajili ya kujitambulisha na kuhutubia mkutano wa hadhara pale Uwanja wa Furahisha. Wadadisi wa mambo naomba mniambie patakuwaje siku hiyo?
Ili ujue kwamba safari hii watu hawadanganyiki tena, kijana huyu akiwa ametinga na chandarua chake kwenye Kituo cha Kuandikisha wananchi katika Daftari la Wapiga Kura Kalangalala mjini Geita.
Tayari kwa kujikinga na mbu waenezao malaria iwapo hataandikishwa siku husika na kuamua kulala kituoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.