Wadau habari za jioni
Katika hili jamani Watanzania wenzangu tueleweshane hii kitu nimeshaiona hapa Maputo Mozanbique na South Africa
Serikali ya Mozambique imeipa kampuni ya wa south Africa wakajenga barabara kuanzia pale town maeneo ya Hospital geral jose Macamo mpk Resarno Garcia ambapo ndio...
Habari zenu wadau
Mimi nipo hapa Maputo tangu mwaka 2011 labda nieleze kwa ufupi kuwa Maputo ni mji ambao umepangika sana kuliko Dar es salaam ila tatizo la Maputo ni uchafu hapa Maputo yani mjini kabisa huku maeneo ya museu pananuka mikojo kila kona ukienda maeneo ya baixa ndio usisema mji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.