Recent content by puritygirly

  1. puritygirly

    Nimeshindwa kuelewa kwanini niki-date na mwanamke anashindwa kunisahau? Ilinisumbua kupata mke

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  2. puritygirly

    Nimegundua wanawake wanapenda mwanaume wa namna gani!

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  3. puritygirly

    Nimegundua wanawake wanapenda mwanaume wa namna gani!

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Daaaaah tutakomaa Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  4. puritygirly

    Ushawahi kuwa na mwanamke anayenuka kikwapa? Nampenda ila ananuka kwapa

    Akimaliza kuoga asugulie limao kwapan kidogo tu linasaidia sana kukata haruf hyo lakin pia zpo deodorant znazonukia ambazo znaweza kumsaidia pia Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  5. puritygirly

    I've been loved by the best

    [emoji23][emoji23][emoji23] utampata tuu Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
  6. puritygirly

    Natafuta mke

    Kwahyo tupambane tuuu
  7. puritygirly

    Natafuta mke

    Ni kweli aiseee Sema kuipata sasa familia yenyew ni changamoto Na ukishaipata unaenda pambana na changamoto zake
  8. puritygirly

    Natafuta mke

    Ni mwendo wa kutafta wenza tu Ila ni vyema familia nayo ni muhimu
  9. puritygirly

    Natafuta mke

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tenaaa jaman?? Aaaah sa si ataghairi
  10. puritygirly

    Natafuta mke

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  11. puritygirly

    Wakuu mnawezaje kuheshimu pesa isitumike ovyo?

    Mungu akusaidie zitulie na wengine wanufaike kwa kupata ajira
  12. puritygirly

    Wakuu mnawezaje kuheshimu pesa isitumike ovyo?

    Kujua tatzo ni step 1 Kuamua kutatua tatzo ni step 2 Kuweka mikakat na njia za kuondokana na tatzo ni step 3 Kuifanyika kaz hyo mikakati sasa na kuanza kutokomeza tatzo ni step 4 Hongera sana Kwasabb umeshaweka nia basi utashinda
  13. puritygirly

    Wakuu mnawezaje kuheshimu pesa isitumike ovyo?

    Anza kwa kuacha tabia ya kupenda kuonekana una pesa kw watu maana hii ndo inakukost mambo yote Tabia ya kutaka watu wakusifie uonekane don kijana msomi una mahela ndio shida inapoanzia Ukiikomesha hii tabia ukaweza kukaa na pesa zako zisikuwashe washe basi hata kupanga namna nzur ya kuztumia...
  14. puritygirly

    Kadri unavyozidi kuhitaji ndivyo unavyozidi kupoteza

    Asante mkuu Somo zuri sana nmejifunza jambo kubwa sina budi kulifanyia kazi
Back
Top Bottom