Recent content by purita

  1. purita

    Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

    Mbona wenzie wanamuwish bila kulalama kuwa hajawawish means hawaoni ubinafsi wewe sasa sijui ndo unataka akuwishi
  2. purita

    Kupigwa kwa Mwanafunzi: Je, Mawaziri wetu hawana kazi?

    Wanafunz wa chuo wamempiga mwanafunz wa sekondar .. mwee imekua habar nchi nzima
  3. purita

    Blood groups vs Mimba

    Baba anapokuwa ana Rh negative haina shida . Shida ni anapokuwa nayo mama ndo kunaeza tokea miscariage kama hata pata kinga baada ya kupata mtoto wa kwanza
  4. purita

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Anaetaka kuja morogoro niende manispaa ya moshi shule ya msingi
  5. purita

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Hivi ikitoa kuolewa kuumwa na kubadilishana hakina kingine kitakachowezesha mti kuha maana duh
  6. purita

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo moro nije dar mosh au arusha
  7. purita

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nje kidogo ya manispaa je uko tayar kuna mtu anataka naye kubadilishana
  8. purita

    Mapokezi ya Wema tishio

    Hiv nan anayestahil kupokelewa achen wampokee kwa raha zao wNampenda watu mna roho kubwa kuliko miili yenu agh
  9. purita

    Mapokezi ya Wema tishio

    Duh umenifurahisha lazma awepo anayekupenda
  10. purita

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Eti jaman kama uhamisho ni wa ndani ya mkoa kwan kuna cha kwenda tamisem nijuzen jaman
  11. purita

    Vijana wasomi wa Kiislamu na Pombe

    Ulevi ni hulka ya mtu hauchagui dini
  12. purita

    Wambea mpite hapa

    Yapo siunaona ya khloe kardashian na hayo hapo
  13. purita

    Diamond amuita Jokate "makombo"

    Na zari kumbe furesh uswahil tu hana jipya na mama ake sjui mke sjui bib
Back
Top Bottom