Recent content by PureView zeiss

  1. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania BYD Da Han inaenda Kilometa 1,000 full charge, na ina efficiency ya 8.7 km/kWh. Yaani Kilometa 8.7 kwa unit 1 ya Umeme (Tsh 360)

    Leo nilikuwa nyuma ya BYD shark 6 pale mataa ya kamata hakika mchina ni balaa Sana kwenye design ya magari. Huku barabarani sijui watu wanatoa wapi pesa
  2. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania BYD ETT 44 Electric Truck inakuja kumchallenge Tesla Semi. Inabeba hadi Tani 44 na inatembea hadi Kilometa 600+ full charge.

    Tusishangae kuiona hii gari kuanzia mwakani kwasababu BYD tayari Wana Tawi Lao vingunguti
  3. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Jaguar Wamezindua rasmi Jaguar Type 01 GT ya Umeme. Very Luxury ila Expensive!

    Wabishi watakuja nayo bongo mwakani. Ile budget ya EL-NINO wajanja watapiga yote kwenye magari ya kifahari
  4. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Heche amjibu Kabudi: Nyie sio HALALI ni HARAMU kwa vile hakuna aliyewachagua

    RAISI haramu......hii haifutiki Hadi anakufa
  5. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Je ni Sawa Kutatiza Ajira kwa Kuwafurusha Maelfu ya Machinga Kariakoo Kwa Maslahi ya Kodi kubwa za Wachache? Nyerere na Magufuli Walikataa Hii Dhana.

    Serikali imesema itaanza kujitegemea bila kutegemea Misaada ya wazungu. Kila MTU atafikiwa Tu Kwa wakati wake
  6. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Bil 700 kutengwa kwa ajili ya el nino ni upigaji au ?

    Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 nimetoka kuongea hilii .....hawa jamaa wanaomba inyeshe Tu walambe vizuri
  7. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Bil 700 kutengwa kwa ajili ya el nino ni upigaji au ?

    Wahuni wameenda mbali Hadi na Gia ya kuwaruhusu wanafunzi wafunge shule mapema . Kama ni kuiba, CCM ni wabunifu mno kwenye wizi
  8. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Responded RC Chalamila: Mzabuni arudishe fedha za Mchinga Temeke aliowauzia meza

    Machinga aliyefukuzwa asifanye biashara amepandishiwa bei ya mafuta Hadi 4,000/= . Duniani hakukaliki na akhera hakuendeki
  9. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania EWURA wametangaza Bei mpya za Mafuta kwa Mwezi October, 2026. Yes, ulichofikiria upo sahihi. Yamepanda!

    RAISI mpiga dili hawezi kuwa na uchungu na watu wake
  10. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Neno moja kwa mmiliki

    Mwenye hiyo nyumba atamaliza kujenga kweli?
  11. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Paka katika mtazamo wa kiroho

    Pale tandale Kwa BIBI PAKA alikuwa maarufu huyu Bibi Kwa kuongea na PAKA wake.
  12. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Usaliti ni laana, Henry Kilewo aachana na siasa

    Mwacheni Akafie mbele ya safari
Back
Top Bottom