Recent content by Puremind

  1. P

    JamiiForums Tanzania UDOM joining instruction 2021 COED

    Nilisahau password,nimesubbmit user name ili wanitumie mpk muda huu,kwa yyt aliyefanikiwa ku download anisaidie 0744594397 whatspp plZ
  2. P

    JamiiForums Tanzania UDOM joining instruction 2021 COED

    Jamani mwenye joining instruction kwa COED anisaidie
  3. P

    JamiiForums Tanzania The University of DODOMA-UDOM

    Hv Udom Kuna viwanja vya michezo km gym au michezo ya ngumi?
  4. P

    JamiiForums Tanzania The University of DODOMA-UDOM

    Naweza pata chumba Cha 30000_40000?
  5. P

    JamiiForums Tanzania kumbukumbu namba ya barua rasmi

    Kumb na ni muhimu kwa sababu humrahisishia msomaji/mlengwa kubaini kuwa aliwahi kukuandikia barua,yaaani rejea ya mwandikiwa
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu tu

    Wapi pa kujifunza?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Admission third around msaada

    Chuo nilipata,ila ningepata Udom angalau ninge survive
  8. P

    JamiiForums Tanzania Admission third around msaada

    Ndugu wanajamvi kwenye account yangu ya Udom admission nataka kuomba third around kwenye Apply online haifunguki,je tatizo hili nikwangu tu,msaada namna ya kusolve hili tatz
  9. P

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Education in Adult Education and Community Development (BED-ADEC)

    Kozi hiyo nimechaguliwa IAE dar es salaam
  10. P

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Chuo Roundi ya pili 2021/2022

    Kila lakhe,mm mwenyewe nasubiria udom
  11. P

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Chuo Roundi ya pili 2021/2022

    Angalia TCU calendar
  12. P

    JamiiForums Tanzania BEI ZA vyumba maeneo sahihi UDOM

    So mkuu kidadari,bei sahihi maeneo jirani ni tsh?
  13. P

    JamiiForums Tanzania BEI ZA vyumba maeneo sahihi UDOM

    Habari wanajamvi, ninaomba wenyeji wa Udom mnihabarishe maeneo sahihi jirani na chuo ambapo nitaweza pata chumba kwa gharama Kati ya 30000/40000 NB Zingatia gharama husika za huduma za kijamii pamoja na huduma mbalimbali muhimu kama maeneo ya michezo,studios nk
Back
Top Bottom