Recent content by pure man

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anasema simpendi kisa ninamiliki bunduki

    Ngoja nikifanyie kazi
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anasema simpendi kisa ninamiliki bunduki

    Asante kwa ushauri nitajufunza
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anasema simpendi kisa ninamiliki bunduki

    Mmh sawa asante kwa ushauri
  4. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anasema simpendi kisa ninamiliki bunduki

  5. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anasema simpendi kisa ninamiliki bunduki

    Maamuzi ya hiv siwez badir historia ya maisha KISA mapenzi,Mungu atusaidie
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anasema simpendi kisa ninamiliki bunduki

    Ndugu zangu habari, mm ni kijana wa almost 40 nipo katika ndoa kwa takriban miaka zaidi ya nane na tuna watoto kadhaa na mke wangu. Kutokana na aina ya biashara zangu za safar zangu ilinilazimu nitafute lesen ya kumiliki BUNDUKI nikapata lesenu zaid ya moja. Mke wangu kwakel huwa hapend hata...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri nifanye biashara gani kwa mtaji wa Milioni 3?

    Wakuu habari zenu,naomba msaada wa ushauri wa biashara kwa mtaji wa milioni 3 ambayo naweza kiwa natengeneza faida ya 100k kwa wiki.AAsante
  8. P

    JamiiForums Tanzania Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana kama kwel pole sana
  9. P

    JamiiForums Tanzania Vodacom hawafai, ni wezi sana

    Yaani tangia jana nimekua na kilio na vodacom kwa upande wa internet, nimejiunga zaid ya mara nne kwa kifurufu cha wiki lakin kila nianza kutumia hata dk haiishinapata msg mb zimekata. Leo tena hivyo hivyo halafu mbaya zaid hawa customee services hawana msaada napiga kulalamika wanaema itakua...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ninamtafuta Saidi Abdalah Mbelwa mara ya mwisho alikua Ngara

    Yes bro saidi abdalah mbelwa kwa taaluma yake ni fundi makochi anakaribia umri wa 60s plus
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ninamtafuta Saidi Abdalah Mbelwa mara ya mwisho alikua Ngara

    kwani kuna ubaya gani kumtaja mtu nae mtafuta ambapo si muharifu,kufunga safar kumfata ni hatua nyingine tunaanza na hii preminary,unakwazika kitu hakikuhusu bro what ia wrong with you?Mungu aniongoze kukujibu kistarabu hakika
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ninamtafuta Saidi Abdalah Mbelwa mara ya mwisho alikua Ngara

    Ndugu wadau ,kuna huyu ndugu yangu saidi abdalah mbelwa niliwasiliana nae kwa mara ya mwisho kama mwezi na nusu umepita ,kwa wakat huo wote alikua akiishi Ngara ,mbaya zaid hakuniambia ngara sehemu gani. Natambua ukubwa wa jamii forum iko kila mahali ya mkini kuna mmoja wetu anamfahamu naomba...
  13. P

    JamiiForums Tanzania PAMBANO LA MANDONGA KENYA

    Yani mim naogopa wale wakenya hawanaga masihara ujue
Back
Top Bottom