Recent content by pure haya

  1. P

    JamiiForums Tanzania Polisi Katavi yamkamata Hamza kwa ujangiri

    kwa sisi waTZ tulivyokua ,sitashangaa watoto wengi watakaozaliwa kuanzia mwezi huu wakaitwa Hamza
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kwa Video Hii Nimeamini Kuwa Ukiwa Mtumishi Wa Serikali Uchawi Muhimu Aiseh!!!

    Sukari ilikua imeshuka tu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tuache siasa, Jina la mtu ni alama tu halina uhusiano na Dini yake wala Kabila

    Huu Uzi umegusa kwenye grey area,si nyeupe si nyeusi.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

    Il Ile ni parody account bro!
  5. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya Malalamiko ya wananchi, Serikali yasitisha bei mpya za vifurushi

    Leo ni sikukuu ya wajinga part 2 au?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tuliwaambiaga mkatupinga na mkatukatalia. Sasa wote tunaona jinsi Rais Samia anavyorekebisha

    Dah!ndo hawezi kujitetea tena
  7. P

    JamiiForums Tanzania Upotoshwaji wa mazungumzo ya PLO Lumumba, Lissu - VoA

    Lissu kaongea uongo mwingi.Lumumba ameongelea vitu asivovijua
  8. P

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Rais Samia ajiwekee malengo ya kushinda tuzo za Mo Ibrahim kwa kurejesha Utawala bora na Demokrasia

    Siongei kishabiki,lakini kushinda tuzo itamsaidia nini?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Vifurushi vipya vya Data na Sauti (Aprili 2021) - Mwitikio wa wananchi

    Yani huyu amezingua..sasa mkongo wa Trillion 1.5 za kiTanzania una manufaa gani kwetu kama tuna bei za data sawasawa na landlocked countries?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile asema Wizara inashughulikia suala la vifurushi, aomba wananchi kuwa na subira

    Serikali ikiingiliaga market ,matatizo yake ndo haya ,hii ni siku ya mwisho kwangu kuingia internet
  11. P

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba apuuzwe kama maprofesa wengine wa Afrika

    Niseme tu hii thread imenifurahisha sana
Back
Top Bottom