Recent content by punda ya ngamia

  1. P

    Kenya wanapata madili mengi sana ya kimaendeleo

    Let us assume you are fastest growing economy... what does this actually mean? The size of economy is important. For example, The size of US economy in GDD is over 18 trillion dollars. If it grew by 2%, it will add 36 billion dollars. Kenya's gdp is nearly twice that of TZ. If Tanzania grew by...
  2. P

    Nairobi-made satellite ready for launch into space

    Tanzania twaja. Wacha Kwanza tufungue kiwanda cha kulekebisa mtumba
  3. P

    there has never been time when money failed: CRY FOR PLO LUMUMBA,

    Hiyo ni uongo wa NASA ambao umeamini. Variations zilikuwa kutoka wingi wa 10% mpaka upungufu wa 7%. Kura zote baada ya kuhesabiwa inaonyesha tofauti ya 9%. Wacha tungoje uamuzi wa mahakama. Na tadhimili Bado watu wengine watasema majaji mawehongwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. P

    there has never been time when money failed: CRY FOR PLO LUMUMBA,

    PlO ameangalia akaona NASA ni upuzi tu. Hata observer wore waliangalia uchaguzi ulikuwa wa haki na ukweli. Sasa unataka Kama ameona pale haki iko afanye Nini? Ukiangalia malalamiko ya NASA... Kwanza walitoa taarifa eti uchaguzi uliimbiwa na hackers. Wakatoa nakala hamsini za uongo eti no hacking...
  5. P

    More people voted for President than for Governor

    This is Fake news. Read about a rejoinder by IEBC terming it fake Sent using Jamii Forums mobile app
  6. P

    Fake Form 34As are Popping up everywhere Raila may just have a Case

    This is my five pence take on this matter. The burden of proof of which NASA has to discharge in this case is very high. As per section 83 of the elections Act... “No election shall be declared to be void by reason of non-compliance with any written law relating to that election if it appears...
  7. P

    Unconfirmed: Mungiki Are attacking people in Mathare

    Hii ni tactic ya kugawanya wakenya. Mungiki ilikuwa kundi la majangili kutoka kabila la wakikuyu. Vile Raila anataka ni kulete hali ya tahaluki ambayo italeta uhasama Kati ya makabila. Makabila zingine zikisikia eti watu wao wanavamiwa zitaunda vikundi via kujihami. Hii italeta Vita Kati ya...
  8. P

    Nadhani Raila Omolo Odinga anahitaji kupimwa Choo chake haraka sana!

    Huyu jamaa anataka Vita na vurugu ili apate madaraka ya rais kwa kutumia nguvu. Hata Mimi hapo mbeleni nilikuwa nikimuunga mkono walakin Sasa nimebadirika. Kila objective independent observar amesema uchaguzi ulikuwa wa ukweli na wa haki. Na hata tukikubali tuseme zile servers zilikuwa...
  9. P

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Bado mapambano iko? Hi ni ungwana gani? Kama hujatembea Africa Mashariki mwenzangu Nairobi iko mbele Sana.. walakin watanzania wenzangu tuko mbioni na labda tutalikamata hilo jijiji baada ya miaka Mia mbili tu[emoji16] Tusikufe moyo na tafadhali msilete matusi.
  10. P

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hakuna haja ya matusi na wivu jameni. Hizi jiji ni zetu wa-afrika wa mashariki. Walakin Kama umeshazuru hizi nchi mbili utajua Nairobi iko mbele kuliko Dar. Hiyo ni ukweli. Hakuna haja ya aibu....Dar itakuja labda kupita Nairobi siku za usoni. Kile Dar imepita Nairobi nayo ni undugu na kukosa...
  11. P

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sasa matusi ya Nini jameni?
  12. P

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Jameni hii mada nitaichapa kwa kuwaambia muangalie hii address kwa mtandao Ebu tafadhalli elekea hapa... Nairobi Photos (kenya): A Beautiful East African City - Travel - Nigeria Ukipigwa na butaa pole mwananchi mwenzangu
Back
Top Bottom