Recent content by Punainen

  1. Punainen

    Bandari iliichangia 37% ya pato la taifa na ujio wa DP world utaipandisha hadi 67% hili tu waziri ameona linafaa hata kama mkataba una mapungufu

    Kwa hiyo unaona dawa ya watu wa aina ya aliyekutwa na nyumba 72 ni kuwapa wageni?! Je, umejiuliza hiyo 'faida' unayoambiwa sasa itasimamiwa na viumbe gani? Au ni waarabu haohao watasimamia hazina na matumizi yetu?! Tatizo ni mifumo yetu ya kisheria na adhabu wanazopewa waka rushwa wakubwa katika...
  2. Punainen

    Kikwete afunguka yaliyojiri CCM mpaka Hayati Magufuli akapeperusha bendera ya CCM

    Hawa walafi wakishafakamia hela za umma wanajisahu sana! Wakaangalia afya zao na hawakung'amua kuwa yule katili atarudisha chenji mapema. Wakaangalia makandokando na hawakukumbuka alivyojiuzia nyumba za umma, hawakukumbuka alivyowatishia kwa bunduki wahariri wa gazeti la Rai kipindi akiwa...
  3. Punainen

    Naomba sapoti kutoka Serikali kama watakubali

    Kama ni kweli, hebu itoweshe ccm na wahuni wake wote!
  4. Punainen

    Kwa hili la Wafanyakazi wa Ndani, Serikali inakosea sana

    Imebidi ni~log in ili kuweka mawazo yangu kwenye uzi huu: bongo kuna kawaida ya kutatua changamoto bila kufikiria kwa kina(ref: uamuzi wa watawala kupandisha bei ya mafuta ya taa ili ikaribiane na ya diesel ili kuzuia uchakachuaji!). Si sawa mdada wa kazi kufanya kazi hadi usiku wa manane...
  5. Punainen

    Kule Tarime kuna mahali panaitwa Seroneta, pale ndio kitovu cha ujeuri

    Ulibahatika angalau kusoma na watu wa huko shule au chuo?! Anyway, nikuache na mtazamo wako!
  6. Punainen

    Kule Tarime kuna mahali panaitwa Seroneta, pale ndio kitovu cha ujeuri

    Mimi huwa nashangaa sana jinsi watu wanavyozidisha 'chumvi' kuwahusu wakurya! Lakini ukweli ni kuwa huko ndanindani ukuryani ni wakarimu sana. Lakini ukiwazingua utafurahi! Lakini, hivi ni nani anapenda kuzinguliwa?!
  7. Punainen

    Juma Nkamia: Hayati Magufuli alitaka nifukuza CCM, kwakuwa alipenda sifa nikaja na hoja ya miaka 7 ya Urais

    Aina hii ya viumbe ndio wamejazana huko ccm! Yuko tayari kuiuza nchi na au kuuza utu wake kwa sababu tu 'watoto wake' wanasoma....
  8. Punainen

    Kule Tarime kuna mahali panaitwa Seroneta, pale ndio kitovu cha ujeuri

    Isee, wewe angalau umesema ukweli kuhusu wakurya...wakarimu sana na wakweli mno...akikukubali hafichi na kama hakukubali hafichi pia. Nimebahatika kwenda mikoa karibia yote Bongo. Ni sehemu chache utakuta ukarimu kama wa wakurya! Ukiingia vijiji vya ndanindani Tarime, unakutana na watu wa...
  9. Punainen

    Kule Tarime kuna mahali panaitwa Seroneta, pale ndio kitovu cha ujeuri

    Ungetumia akili yako hata kidogo ungeelewa nilichoandika! Lakini kwa sababu huna uwezo wa ku-reason utaendelea kutamba na kutukana mitandaoni! Unaelewa kuwa wewe na mimi tunaweza kuwa ni kabila moja ila uelewa wako tayari umenihesabu kuwa ni Mkurya?!
  10. Punainen

    Kule Tarime kuna mahali panaitwa Seroneta, pale ndio kitovu cha ujeuri

    Usukumani wapi?! Uanaume ni nini hasa?! Mambo ya gamboshi au?!
  11. Punainen

    Kule Tarime kuna mahali panaitwa Seroneta, pale ndio kitovu cha ujeuri

    Dah.....! Mkuu, kwamba mwarabu alikuwa anahitaji watumwa wenye kutumia akili zaidi kuliko nguvu?! Ama kweli watu wenye 'akili' mnajidhihirisha!
  12. Punainen

    Kule Tarime kuna mahali panaitwa Seroneta, pale ndio kitovu cha ujeuri

    Ulichoandika hapo hakuna namna mtu atakithibitisha! Unaweza kumshinda mtu wa kabila lolote kwa kupigana....na unaweza kupigwa na mtu wa kabila lolote. Hiyo hailifanyi kabila lako au lake kuwa washamba! Nilishawahi kupendekeza humu kuwa inapokuja kuyaponda makabila mengine wapondaji muwe mnaanza...
  13. Punainen

    Kule Tarime kuna mahali panaitwa Seroneta, pale ndio kitovu cha ujeuri

    Mkuu, hebu ielezee kwa uwazi hiyo Seroneta....iko wapi?! Kutokea Tarime mjini mtu anafikaje huko nk.
  14. Punainen

    Kule Tarime kuna mahali panaitwa Seroneta, pale ndio kitovu cha ujeuri

    Mkuu, niko Tarime kwa sasa....kama hutajali nielekeze majina tu ya vijiji vya hao Abalenchoka nivitembelee....
Back
Top Bottom