Recent content by Pugnator

  1. Pugnator

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Pole sana, ukimya wako ukafanya watu wadhani ulikufa kwa ajali ya Kimara ukiwa na Irene
  2. Pugnator

    JamiiForums Tanzania Waziri wangu wa Elimu nakukumbusha tu malipo ni hapa hapa duniani

    Viongozi wengi ni wajingawajinga, hawajui kabisa kuhudumia raia wao
  3. Pugnator

    JamiiForums Tanzania Poleni ndugu zangu maana hii ni zaidi ya kufiwa

    Kwa mwenye uelewa wa mambo anaweza nisaidia hapa. Deportation inawahusu wageni wote walioingia USA kwa njia zisizo halali ? Kwa mfano kuzamia, kuingia na kuomba ukimbizi na mambo kama ya overstay. Kwa wale wote waliongia kama wanafunzi au watalii hii inakuwa haiwahusu ?
  4. Pugnator

    JamiiForums Tanzania Picha hii ina tafsiri gani?

    Ukiangalia body language hii picha haijakaa sawa kuja public
  5. Pugnator

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa acha kupotosha umma

    Tungekuwa tunaserikali inayojielewa huyu anatakiwa kuwajibishwa kwa kutoa taarifa isiyo kuwa na ukweli. Washaona watanzania wote wajinga.
  6. Pugnator

    JamiiForums Tanzania Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

    Kuna mda nikikaa nikatafakari kuhusu mstakabari wa Taifa letu inanifanya niwaze uenda kuna kizazi kitakuja kuleta ukombozi wa kweli wa hili Taifa. Tumekuwa na viongozi wasiofikiria kuhusu hili Taifa, licha ya mali nyingi wanazoiba na kutumia ila bado wamekosa uungwana hata kidogo na kuliwazia...
  7. Pugnator

    JamiiForums Tanzania Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

    Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa, ila dada mkubwa kama angalikuwa anasikia basi kuna vitu angejitahidi kupingana navyo hata kama machawa wanamlazimisha vitokee. Machawa wanaharibu sana taifa letu, viongozi wengi imekuwa kama fashion kuchukuliwa na upepo wa machawa bila kupima na...
  8. Pugnator

    JamiiForums Tanzania Kuibiwa kusikie tu

    Pole sana mkuu, wezi wanarudisha nyuma sana
  9. Pugnator

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mbowe utabakia kuwa Jenerali na kiongozi wangu siku zote, Nitakuwa tayari siku yoyote kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa

    Boni yai hapo anaumia atakavyoenda kusota kwa kumiss pesa za bure 😅
  10. Pugnator

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto utoaji huduma Safi Shule ya Makabe

    Wameridhika kipumbavu
  11. Pugnator

    JamiiForums Tanzania Karibu Lissu, kwaheri CHADEMA

    Huyu usingemjibu. Ni mwendo wa kushuhudia kwa macho yake namna chadema itakavyotamba
  12. Pugnator

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnyika ampongeza Mbowe kwa kugharamia shughuli zote za Uchaguzi CHADEMA

    Licha ya mambo yanayoonekana kafanya Mbowe, alitaka kukipeleka chama sehemu mbaya sana na round hii deal lilishtukiwa mapema. Watanzania inabidi watambue hakuna ugharamikiaji wa shughuri wenye thamani kuliko uhai wa wapigania demokrasia na haki wa kweli. Kuna wadau wengi wamekuwa mstari wa...
  13. Pugnator

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ina Mengi ya kujifunza kwa CHADEMA Kwenye Uchaguzi

    CCM ishakufa na kuanguka puuu ni vile inatumia mabavu na dola kulazimisha ipendwe
  14. Pugnator

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania wabubujishwa na machozi ya furaha na matumaini kwa ushindi wa Lissu. matumaini kwa upinzani kurejea?

    Hatuwezi kuwa na Taifa la walamba asali. Ni aibu sana kwa Tanzania kufikia hatua tuliyonayo sasa. Tumaini pekee ni upinzani imara chini ya TAL
  15. Pugnator

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ina Mengi ya kujifunza kwa CHADEMA Kwenye Uchaguzi

    Ccm ishajifia haina ushawishi kabisa kwa wananchi
Back
Top Bottom