Recent content by publito

  1. publito

    JamiiForums Tanzania Agosti 1, Siku ya Kimataifa ya Bia, fahamu na zijue faida za Kiafya za utumiaji wa Bia

    Wazee wa kigamboni Leo kuna baa inafunguliwa NOLASCO ya zamani....karibu tunywe bia
  2. publito

    JamiiForums Tanzania GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

    nakumbuka alivyokuwa anawatesa wapinzani akiwa spika...kweli wakati ukuta
  3. publito

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi imefikia Mahali ambapo, wahuni wanaamini hamna MTU wa kuwafanya kitu, Inawezekanaje, Familia ya Mstaafu wapitishwe wao tu bila ushindani ?

    Narudia ' ni suala la muda ' Chukua J Makamba wa 2015 na huyu wa 2025 hakuna ambaye angeamini hata 6 bora wa wagombea ubunge kakosa
  4. publito

    JamiiForums Tanzania Serikali iko Kimya, Watanzania walioko IRAN na ISRAEL hawajui Hatima yao!!

    Mkuu, hii nchi Bado Ina watu wajinga mno sijui tutatokaje hapa
  5. publito

    JamiiForums Tanzania Maneno kama haya kwenye Hotuba ya Bajeti yalilenga nini?

    Mwenyewe nilijiuliza swali kama hili sikupata jibu
  6. publito

    JamiiForums Tanzania Hivi Kampuni ya mabasi yaendayo kasi DSM ndio inakufa au ni Mimi naona hivyo?

    Dah....Asante mwanangu Nimeapa Mwaka huu panapo majaaliwa ya mwenyezi Mungu lazima ninunue gari
  7. publito

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara ya kumiliki gari ya kutembelea

    Mkuu unamiliki alphard nn 😄
  8. publito

    JamiiForums Tanzania Hivi Kampuni ya mabasi yaendayo kasi DSM ndio inakufa au ni Mimi naona hivyo?

    Juzi wakati napanda mwendokasi pale kimara nilipigwa kikumbo nikajipiza kwenye chuma mpaka sasa mkono Bado unauma qmmk
  9. publito

    JamiiForums Tanzania Kibatala: Siasa ni nini na nani anaamua hii ni Siasa na hii ni Dini?

    Kama ni hivyo, viongozi wa dini wana wajibu wakuhubilia waumini wao ambao wengine ni wanasiasa waache wizi, utekaji, roho mbaya, tamaa ya madaraka, kubambikia watu kesi Ili waende mbinguni
  10. publito

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa "system" kutumia mbinu zao zote kukwepa hii mitego miovu ya WEST (US) kuhusu nchi yetu.

    Umeandika upuuzi Hao wanaotekwa vipi ?
  11. publito

    JamiiForums Tanzania Hii Kauli ya Samia leo imeweka wazi tatizo lipo wapi. Watu Wenye Akili wasikitika sana

    Nashangaa mpaka sasa sijaona comment zao
  12. publito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimeumia sana chama kuvunjika na kuparaganyika siku 70+ za uongozi mpya!

    Dah we jamaa eti unajiita jasusi
  13. publito

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumweleza boss ukweli kuhusu tabia yake inayokera

    Nilikuwa na boss kama huyo Nilimtukana matusi ya nguoni mbele za watu kama yeye na kazi nikaacha....ila baadae alinipigia simu tukayamaliza japo sikurudi kazini
Back
Top Bottom