You are right kwa tz sio rahisi Sana but sizan kwa YouTube wanalimit where to show as long target keyword Zina match na content Fulani, hapa kwa idea yako imenipa wazo niongeze kipengeleni kingine maybe playlist, itakuwa vyema, thanks for advice
Habari za jioni waheshimiwa wote humu ndani, nilikuwa nikiwaza ukienda youtube utaonda watu wameunda channel zao mbalimbali za games ambazo is very interesting pia wana community wanao submit clip zao mfano Pugb tv and wengineo. Mfano, hao jamaa wanapoke clips za fans zao na kuzi upload kama...
Habarini nyote, kama mnavyofahamu Battle royal games zimekuwa popular na kukimbiza kwa kuingiza earnings almost everyday.
Ningependa kujua kati za hizi games Battle royal lipi ambalo unacheza current
Binafsi nalikubali Pugb pamoja na call of duty pamoja Apex of legend linaoneka zuri sijawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.