Recent content by psagala1

  1. psagala1

    Kwanini Dunia inamkuza Thomas Edison na kumuacha Nikola Tesla wakati alikua mwizi, jambazi na tapeli?

    Umefanya uvumbuzi gani mkuu, ama project yoyote Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
  2. psagala1

    Shule ni kwa ajili ya nini kama hatufundishwi kufanikiwa?

    Kwahiyo mkuu kutoka kutojua kusoma,kuandika,kuhesabu mpaka kujua unaona si mafanikio?!shule kuna masomo yakukufanya ubongo wako utanuke na uwe active kuweza kutumika kupata mafanikio unayotaka Sent from my SM-J810F using JamiiForums mobile app
  3. psagala1

    Msaada: Kwa bajeti hii napata simu gani?

    Kabisa mkuu hivi vioo vya IPS chenga sana, kitu super amoled ni display kali sana
  4. psagala1

    Hollywood na ubovu wake kwenye matumizi ya bunduki

    Ifike mahala waandishi wapitie kazi za waandishi wenzao kwanza na ufasaha wa matumizi ya lugha.....nyuzi za The Bold zingekua hivi mtu huwezi vumilia kusoma manake brain inachoka asee
  5. psagala1

    Hollywood na ubovu wake kwenye matumizi ya bunduki

    Hii magazine umaanisha risasi ama?!manake ni vitu viwili tofauti
  6. psagala1

    Hollywood na ubovu wake kwenye matumizi ya bunduki

    Uzu mzuri Uwa-huwa Aunifurahishu-haunifurahishi
  7. psagala1

    Tatizo lolote la PC/device

    Inawezekana power haifiki kwenye feni so jaribu kutest ama kucheck ile jumper ya feni then angalia pia kama ina vumbi Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  8. psagala1

    Gari la Wagonjwa (ambulance) likikutana na msafara wa Rais, nani anatakiwa asimame?

    Kutana watu wa usalama barabarani utasikia jibu watalo kwambia
  9. psagala1

    Uchambuzi: Shirika la ujasusi la Uisraeli Mossad

    Daaah uzi mzuri ila kuna namna maneno yamekosewa mtu inabidi utumie sana ugali kusoma
  10. psagala1

    Gari la Wagonjwa (ambulance) likikutana na msafara wa Rais, nani anatakiwa asimame?

    Bila kupepesa macho rais inatakiwa ampishe mgonjwa kwasababu hapo unaongelewa uhai wa mtu
  11. psagala1

    Nichukue ipi kati ya HP pro x2612 na Lenovo Yoga

    Kaka mi nna hp x2 nahangaika kupata touch yake nimezunguka sana kkoo pale na kwa mafundi wengine sijapata
  12. psagala1

    Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

    A10s ni mediatek kabis MT6762
  13. psagala1

    Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

    Shida ya A series vioo vyake kama vya tecno hasa hizi A10 wanatumia IPS LCD capacitive touchscreen wakati J series wao wanatumia Super AMOLED capacitive touchscreen hizi ni display type nzuri sana
Back
Top Bottom