U
Una akili za kimagufuli magufuli akili za kiumasikini, hujui kua NHIF wenyewe wanabei zao kwa kila huduma na gharama za huduma zinatofautiana kulingana na level ya kituo cha huduma. walaumu kwa vitu vingine
kwa kukusaidia tu NHIF huwa wanapitia fomu moja moja ya mgonjwa/taarifa na kuangalia kama mteja wao alipewa huduma sahihi ni pamoja na dawa, wakigundua akupewa huduma sahihi hiyo huduma huwa ailipiwi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.