Chuo cha Ulinzi wa taifa kinachukua watu wenye sifa gani? Natamani kujiunga

sepema

JF-Expert Member
Jun 13, 2019
591
1,000
Salaam kwenu,

Kwa miaka mingi nimekuwa nikisikia kuhusu chuo cha ulinzi wa Taifa. Nimejitahidi kufatilia course wanazotoa pamoja na namna ya kujiunga Ila sijapata chochote cha maana cha kunisaidia.

Nikwamba Mimi ni mtumishi wa idara flani serikalini Ila napenda Sana kujiunga na hiki chuo ili niitumikie serikali nikiwa zao la chuo hicho.

Kwa mwenye uelewa au connection ya kujiunga naomba msaada tafadhali.

Wasalaam!
 
Hakuna kitu Kama hicho, huwezi kukipata mkuu!! Kwanza hakunaga sijui ku aply . ni unatafutwa hata bila wewe mwenyewe kujua Kuna watu wamekuona u fit .
 
Vyuo vya kijeshi vipo vingi tu... vina pokea wanafunzi kutoka nje na ya nchi na wakufunzi pia kutoka nje na ndani ya nchi...

Vyuo vya kijeshi vipo vingi kama pale tengeru... hapo dar unacho kiita chuo cha taifa... pale monduli pia...

Hivyo tuma maombi kupitia email zao au sanduku la posta au fika chuo husika unapo taka kwenda kusoma ukaulize utaratibu na wakati wa kutuma maombi ni upi ili waweze kukusaidia
 
Salaam kwenu,

Kwa miaka mingi nimekuwa nikisikia kuhusu chuo Cha ulinzi wa taifa.Nimejitahidi kufatilia course wanazotoa pamoja na namna yakujiunga Ila sijapata chochote Cha maana Cha kunisaidia.

Nikwamba Mimi ni mtumishi wa idara flani serikalini Ila napenda Sana kujiunga na hiki chuo ili niitumikie serikali nikiwa zao lachuo hicho.

Kwa mwenye uelewa au connection ya kujiunga naomba msaada tafadhali.

Wasalaam!
Wewe unataka kutumiakia serekali au kulitumikia taifa?
 
vyuo vya kijeshi vipo vingi tu... vina pokea wanafunzi kutoka nje na ya nchi na wakufunzi pia kutoka nje na ndani ya nchi...

vyuo vya kijeshi vipo vingi kama pale tengeru... hapo dar unacho kiita chuo cha taifa... pale monduli pia...

hivyo tuma maombi kupitia email zao au sanduku la posta au fika chuo husika unapo taka kwenda kusoma ukaulize utaratibu na wakati wa kutuma maombi ni upi ili waweze kukusaidia
Shukrani mkuu
 
Ha ha ha Mimi mwenyewe nlikuwa nashangaa
Mkuu hujui kwamba Kuna watumishi wanaitumikia serikali? Swala la taifa nimatokeo ya utumishi wa watu hao kweny serikali wanazozitumikia
 
vyuo vya kijeshi vipo vingi tu... vina pokea wanafunzi kutoka nje na ya nchi na wakufunzi pia kutoka nje na ndani ya nchi...

vyuo vya kijeshi vipo vingi kama pale tengeru... hapo dar unacho kiita chuo cha taifa... pale monduli pia...

hivyo tuma maombi kupitia email zao au sanduku la posta au fika chuo husika unapo taka kwenda kusoma ukaulize utaratibu na wakati wa kutuma maombi ni upi ili waweze kukusaidia
Uongo

Vyuo.vya kijeshi ni vyao wenye kada hiyo sio vya kila mtu kuomba
 
Uongo

Vyuo.vya kijeshi ni vyao wenye kada hiyo sio vya kila mtu kuomba
uongo ni upi? jielezee vyema mkuu

uongo kuchukua raia wasio wa tz?
uongo kuwa na walimu sio wa tz?
uongo kuchukua raia?
uongo ni upi ebu tujuzane na tusaidiane kueleweshana kaka au uongo kwa maana hivi vyuo havipo kabisa?
 
vyuo vya kijeshi vipo vingi tu... vina pokea wanafunzi kutoka nje na ya nchi na wakufunzi pia kutoka nje na ndani ya nchi...

vyuo vya kijeshi vipo vingi kama pale tengeru... hapo dar unacho kiita chuo cha taifa... pale monduli pia...

hivyo tuma maombi kupitia email zao au sanduku la posta au fika chuo husika unapo taka kwenda kusoma ukaulize utaratibu na wakati wa kutuma maombi ni upi ili waweze kukusaidia
si ujiunge na mgambo?'''mfungwa hachagui gereza na mkulima hachagui jembe"
 
Back
Top Bottom