Kwa mwalimu yeyeto aliepo dar anafundisha sekondari alietayari kuhamia Arusha mjini anatangaziwa zawadi ya 1,300,000tsh ikiwa atakuwa tayari kubadilishana vituo vya kazi.
Hakuna utapeli kama una lengo la kutapeli ishia hukohuko tutaandikishina kwa mwanasheria na MALIPO ni baada ya mambo kutick...
Gari haifiki mpaka kiwanjani kwa sababu ni bondeni kidogo huduma zote umeme na maji zipo. Picha za majirani sina kwa sasa ila kuna nyumba nzuri tu hapo zimejengwa
Gari unaiacha sehemu then unatembea kama dk5 kutoka ulipoacha gari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.