Recent content by protonVP

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    tiba ya PID
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuacha kabisa

    huyo hakupendi unapoteza muda wako. tafuta akupendae
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tume Ya Taifa ya Uchaguzi yapinga zuio la kutumia viwanja vya Jangwani tarehe 29 Agosti, 2015

    umetumwa na nani wewe? upo kwenye system au ni lofa unaeota ndoto ya mchana? ukawa imefanya lipi ambalo litafanya yatokee mauwaji? au kutaka kutumia kiwanja cha jangwani ndio kusababisha mauwaji? kwann wewe au hao unaona wanafaa hawajatumia hivyo viwanja au hamkuviona?? we kaa kimya kama huna...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nimepaliwa na kifupa cha samaki

    Wadau, Naombe mnisaidie namna ya kutoa kifupa cha samaki kooni. Nimekula samaki, sasa kifupa kinakwaruza kooni noma.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa akanusha Habari zilizoenea kuwa amejiuzulu

    hahahaaa.....huyu paka hata maziwa hapewi. angepewa maziwa angekuwa kimya
  6. P

    JamiiForums Tanzania Magufuli na maamuzi yake

    hapo umeongea. with ccm hakuna kitu. watz hatudanganyiki. huu ni mda wa mabadiliko na mabadiliko ni lazima
Back
Top Bottom