Recent content by Protect

  1. P

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee Mpili wa Yanga afariki dunia

    Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu. Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga 4-0 JKT Tanzania | KMC Complex | 12:00 Jioni | Yanga wanaendelea kuwaumiza wapinzani

    Boka msimu huu anawaka Halafu kuna watu walitaka atemwe
  3. P

    JamiiForums Tanzania Marekani yaishambulia kwa makombora Iran kwa walichokiita ni hali ya kujilinda dhidi ya vitisho vya Iran

    Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini ========== US military says it struck southern Iran in 'self-defence' The US military said it...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Najua, roho inauma sana ila hamna namna "Wahuni wanajenga uwanja"
  5. P

    JamiiForums Tanzania Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Utaona picha soon Watu hawatanii kipindi hiki
  6. P

    JamiiForums Tanzania Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Soon utakuwa upo disappointed
  7. P

    JamiiForums Tanzania Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Yanga kupitia Alikamwe, walizungumzia kuhusu jambo hili kabla hata hawajaenda kucheza na Dodoma
  8. P

    JamiiForums Tanzania Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Hongera sana viongozi wa Yanga, hongera sana GSM Muda wa maneno umepita sasa ni vitendo tuu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Yanga na GSM zasaini mkataba wa ujenzi wa uwanja wa Yanga

    Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa rubani wa ndege ya Marekani iliyotunguliwa na Iran aokolewa akiwa mzima

    One of two US pilots in the F-15 fighter jet which went down in Iran has been rescued by American forces, NBC News reports. The two-seater plane went down over Iran earlier today, our US partner network reported earlier, citing two American officials. A US official now tells NBC one of the...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ndege ghali za kivita za Marekani sasa zaanza kuangushwa Iran

    Iran imetangaza imefanikiwa kuidondosha ndege ya kivita ya Marekani Kwa majibu wa Iran, kwa sasa juhudi zinafanyika kuwasaka marubani wa hiyo ndege, huku ikitangaza donge nono kwa atakayefanikisha jambo hilo Wakati huo huo mmoja wa maofisa wa Marekani amethibitisha shirika la habari la Reuters...
  12. P

    JamiiForums Tanzania UCL Quarter Finals: Real Madrid kukipiga na Bayern, Liverpool kukutana na PSG

    Hatua ya robo fainali ya Uefa Champions League kuanza kuchezwa tarehe 7 na 8 mwezi wa 4 kwa hatua ya kwanza na mechi za marudiano zitachezwa tarehe 14 na 15 mwezi wa 4. Hivi ndivyo mechi zitakavyokuwa, je nani atatoboa kuingia nusu fainali
  13. P

    JamiiForums Tanzania Full Time: NBC PL | Azam FC 0-0 Yanga SC | Mkapa Stadium | 15/03/2026

    Timu ya soka ya Azam leo inaikaribisha timu ya Yanga kwrnye mechi ya NBC PL kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi Wanafiki na wana Simba SC mnaosema Simba SC bado ina nafasi CAFCL hebu nifafanulieni ni ipi na itakuwaje?

    One and Only Gentamycine Inabidi watu waanze kukusikiliza
  15. P

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCL Group Stage: Young Africans 1-0 Far Rabat | New Amani Complex | 22/11/2025

    Mabingwa wa Tanzania, Yanga leo wanaanza kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Far Rabat ya Morocco katika mechi ya kwanza ya group B, katika mechi itakayochezwa kwenye uwanja wa Amani Complex, Zanzibar
Back
Top Bottom