Recent content by Prosper C Manasse

  1. Prosper C Manasse

    Chati ya Kisiasa: Magufuli anaenda chini kasi, Kikwete anarudi juu taratibu

    CRITICAL THINKERS. Unamfananisha Alofanya Kazi 10yrs Na Alofanya 6Mothz Halafu Unajiita Critical Thinker. Miezi6 Tu Mnapata Machungu, Kunanini Kibaya Kawafanyia Ndugu Zangu. Wale Wooote Walokuwa Wanaishi Maisha Ya Uwongo Ndio Wanaumia Leo Nakumuona JPM Hafai. Mtaumia Sana Msimu Huu Sisi...
  2. Prosper C Manasse

    Chati ya Kisiasa: Magufuli anaenda chini kasi, Kikwete anarudi juu taratibu

    Wataomkumbuka JK Ni Wale Wachache Walokuwa Wanakula Keki Ya Taifa Isivyo Halali, Sisi Wala Haturudi Nyuma Maana Tangu Magufuli Kashika Dola Wanaomia Ni Wale Tu Walokuwa Waongo, Wakweli Wote Tunapeta No Tatzo.
  3. Prosper C Manasse

    Utajiri wa kufa na kuoza ndio pesa ije

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
  4. Prosper C Manasse

    VIDEO: Askari wa Usalama Barabarani akichukua Rushwa - Juni 01, 2016

    HAKUNA USHAHIDI WA RUSHWA HAPO. 1. Huyo Mwenye Shati Jeusi Anaonekana Ni Mshikaji Wa Huyo Mwenzake Ndio Maana Wameondoka Pamoja, Kama Angekuwa Askari Angebaki Hapo. 2. Askari Alovaa Sare Hajapokea Chochote Kutoka Kwa Hao Wawili Isipokuwa Karudisha Leseni Na Inaonekana. 3. Huo Mkono Wa Mwenye...
  5. Prosper C Manasse

    Livingstone Lusinde: Kwa spidi hii ya Magufuli, 2020 tunaweza tusiwe na uwakilishi wa upinzani

    Ni miezi 6 tu tangu Joseph Pombe Magufuli ashike dola na sote tunaona jinsi anavyopiga kazi kwa kasi ya ajabu kiasi cha kukosa nini tuseme juu yake ili kumshusha hadhi asionekane anapiga kazi. Aliyofanya kwa Miezi 6; 1. Elimu bure hadi hadi sekondary. 2. Wanaopata mikopo elimu ya juu...
  6. Prosper C Manasse

    Polisi waanza kutekeleza adhabu "kali" kwa madereva wanaovamia barabara za mwendo kasi

    Mkuu Unatafsiri Tofauti Sana Na Lengo La Kuulizwa Dini Na Kabila. Hizo Ni Taarifa Muhimu Sana Kwa Polisi Na Mtuhumiwa Kuanzia Kwny Mwenendo Wa Mashitaka Hadi Hukumu. Kunawengine Wanawezakuwa Sio Raia Wa Tz Lakn Wengine Imani Zao Haziruhusu Mambo Fulani Wakat Fulani. Wengine Wanaweza Kupata...
  7. Prosper C Manasse

    Polisi waanza kutekeleza adhabu "kali" kwa madereva wanaovamia barabara za mwendo kasi

    Kesi inapofunguliwa Polisi lazma uandike dini na kabila, inasaidi kupata haki zako mahakaman au jela.
  8. Prosper C Manasse

    Rais Magufuli: Wanafunzi UDOM waliofeli wakatafute vyuo vya saizi yao

    Waloitwa Vilaza Ni Wale Wasio Na Vigezo Na Si Wale WenyeVigezo. Kama Hawakupewa Muda Si Sawa Lakn Kama Walipewa Wakakaidi Ni Sawa. Wanafunzi Elfu7 Ukiwapa 7Days Zinatosha Kabisa Kuondoka Lakn Sio 24Hrs, Ila Jambo La Kuwatimua Wasio Na Vigezo Ni Afya Tele Maana Waliziba Nafasi Za WenyeVigezo Kwa...
  9. Prosper C Manasse

    Rais Magufuli: Wanafunzi UDOM waliofeli wakatafute vyuo vya saizi yao

    NILICHGUNDUA HUMU JF. Watz Hawapendi Kusoma Ama Kusikiza Speech Ya Mtu Kisha Wahoji Ama Kutoa Ushauri. Wengi Wanaamini Degree Zao Ni Zaidi Ya Kusikiliza Na Kuhukumu Kuliko Kuhukumu Baada Ya Kusikiliza. Kwa Kuwakumbusha Ndugu Zangu. Speech Ya Mh. Rais Imegusa Wanafunzi Wa Makundi Mawili. KUNDI...
  10. Prosper C Manasse

    Rais Magufuli: Wanafunzi UDOM waliofeli wakatafute vyuo vya saizi yao

    Wewe Hujasikia Speech Ya Rais Na Kama Umeisikia Basi Hukuielewa Hat Kidogo. RAIS KASEMA HIVI. 1. Wapo Ambao Walipewa Nafasi Wakiwa Hawana Hata Kigezo Kimoja, Hao Ndio Alowaita Vilaza. 2. Wapo Ambao Wanavigezo Vyote, Hao Watapewa Nafasi. 3. TCU Walilazimishwa Kusajili Hata Watoto Wasio Na...
  11. Prosper C Manasse

    Mkoa wa Kilimanjaro (W.Moshi) baadhi ya wrong parking hawatendi haki

    Yani Pale Ujinga Ni Mwingi Mi Ntakuja Kumpanda Mtu Na Tairi Pale Wakome Kabisa.
  12. Prosper C Manasse

    Mkoa wa Kilimanjaro (W.Moshi) baadhi ya wrong parking hawatendi haki

    Mkuu Kumbe Hata Wew Limekukuta Mkuu, Pole Sana Ndio Moshi Hiyo
Back
Top Bottom