Recent content by PROMISE KEEPER

  1. P

    Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

    Unacho kisema watu wenye muda wa kufiki na si kufikiri tu wanaofikiri sawasawa wanakuelewa, Tatizo tulilonalo hatupendi kufikiri na kufanyia jambo utafiti wa kina tumekuwa watu wakushabikia kila jambo bila kujua tunacho shabikia ni kwa masilahi ya nani mimi ninavyomwangalia zitto naona kama...
  2. P

    Zitto Kabwe More Than Meets the Eye!

    Unacho kisema watu wenye muda wa kufiki na si kufikiri tu wanaofikiri sawasawa wanakuelewa, Tatizo tulilonalo hatupendi kufikiri na kufanyia jambo utafiti wa kina tumekuwa watu wakushabikia kila jambo bila kujua tunacho shabikia ni kwa masilahi ya nani mimi ninavyomwangalia zitto naona kama ni...
  3. P

    Sitta: Bilioni 10 zimeandaliwa kwa ajili ya rushwa urais 2015!

    Mmmh hii inaleta wasiwasi unaonekana wewe ni miongoni mwa watu msiokuwa na uchungu na watanzania pamoja na taifa lenyewe tanzania. Nadhani kabla hujatoa mawazo yako yaliyopungukiwa na heshima (ungese) na yaliyopungukiwa na akili pia maana siku zote mtu mwenye akili huangalia kilicho zungumzwa...
  4. P

    Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

    Hivi karibuni kulitokea na mgongano na kutokuelewana kati ya wafanyabiashara wa maroli(WASAFIRISHAJI) na wizara ya ujenzi inayoongozwa na waziri(MAGUFULI) kuhusu uzito unaotakiwa pamoja na adhabu zinazotakiwa kutumika mara inapo bainika umezidi. Ilijitokeza hali ya wafanya biashara hawa...
  5. P

    Yaani siku hizi ukigusa tu, unapewa bila hiyana...

    Mmmmh ni kweli inakera wamekuwa rahisi sana hata wanapoteza hamu hawajui kusema hapana wala kesho hapo hapo sijui ndiyo kwenda na wakati huku naona hawa wa leo ndiyo wanawake wa digital ni kubofya tu.......!
  6. P

    Lengo la Uongozi lisiwe Madaraka bali Mabadiliko yaliyojaa Utu – LEMA

    Wakati mwingine kamanda huwa sikuelewi...! Lakini kwa hiki ulichokisema nakubaliana na wewe asilimia mia na ningelipenda kuwashauri watanzania wenzangu tusipende kuleta ushabiki wa mpira kwenye siasa kwani siasa ndiyo inayotuamulia tuwe na elimu bora, afya bora nk hivyo yanapozungumzwa mambo ya...
  7. P

    Lengo la Uongozi lisiwe Madaraka bali Mabadiliko yaliyojaa Utu – LEMA

    Unachosema nikweli kabisa ikulu hawaendi wahuni lakini swali la kujiuliza ni hili wanao amua nani wampeleke ikulu ni nani? bila shaka jibu lisilo na ubishi ni hili wananchi ndio waamuzi nikiwa na maana wapiga kura sasa wakati kura zinapigwa hawa wapiga kura kwao ni nani anaonekana muhuni wakati huo?
  8. P

    Lengo la Uongozi lisiwe Madaraka bali Mabadiliko yaliyojaa Utu – LEMA

    Wakati mwingine kamanda huwa sikuelewi...! Lakini kwa hiki ulichokisema nakubaliana na wewe asilimia mia na ningelipenda kuwashauri watanzania wenzangu tusipende kuleta ushabiki wa mpira kwenye siasa kwani siasa ndiyo inayotuamulia tuwe na elimu bora, afya bora nk hivyo yanapozungumzwa mambo ya...
  9. P

    Mbunge wa Arusha, Godbless Lema aamua kugawa picha za Kugushi za kumdhalilisha!

    Kwanza nimesikitishwa na siasa chafu za watu walio filisika mawazo, kitendo cha kutengeneza picha za kudhalilisha kiongozi wa watu ni upuuzi mkubwa. Napenda kumwakikishia lema kitendo ulichokifanya ni ujasiri mkubwa na wanao ongea hovyo wengine ni miongoni mwao wapuuze kwani walitaka ukose...
Back
Top Bottom