kwa kweli huenda hata hofu hizo za kujiunga na eac zinachochewa na hao hao mafisadi ambao wanajua hawataweza kuendeleza falme zao mbele ya wakenya na waganda.
Haswa hii ni hadithi ya ajabu ambayo mimi nimeilinganisha na hadithi ya mbwa koko; kundi kubwa la mbwa koko lilikuwa likirandaranda barabarani bila ya matumaini yeyote ya kupata japo kitoweo, ghafula watu fulani wakawachukua kati yao mbwa koko wawili wadogo , wakawalea na kuwaweka kuwa walinzi...
watanzania sasa tuamke na kuacha tabia ya kujifariji wakati hali halisi ya taifa letu tunaijua,tuache kuishi maisha ya uongo( living a lie);kwani wanaofaidika kwa ujinga huo ni mafisadi wachache tu katika taifa hili, tukubali kuwa baba yetu ambaye tungeweza kulala usingizi na kumuamini...
Watanzania kweli ni watu wenye uvumilivu wa hali ya juu maana hakuna taifa ambalo viongozi wake wamewahi kudanganya wananchi kuliko taifa hili, tena uongo mwingine unatolewa mahali patukufu kama bungeni ambapo watu wote wanaona na haijawahi tokea hata kidogo watu kuchoshwa na hilo!
lakini ndugu...
ndugu yangu wazo lako ni zuri kuhusu copyright, lakini tujaribu kuona namna gani ambavyo wote kwa pamoja tutaunganishwa tena baada ya hawa mafisadi wa vyama kutulisha propaganda za uongo kwa muda mrefu; sasa hivi mtu akitoa jambo hata kama ni la kujenga wengi huanza kulipokea kwanza kwa...
KWENU WASOMI WENZANGU SEKONDARI MPAKA VYUONI, SHIME WAKATI UMEFIKA ; TUMEPEWA SILAHA ILI TUITUMIE KULETA MABADILIKO ,NALETA KWENU MAONI YANGU NAOMBA KILA MMOJA WETU AYAPITIE KWA KINA NA KUYAHIFADHI KWA AJILI YA REFERENCE BAADAE, PIA NAOMBA MAONI HAYA TUYAENEZE BAINA YETU KAMA MOTO WA KIANGAZI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.