Recent content by Professor Zonga

  1. P

    JamiiForums Tanzania Tumia no ya USA kwa whatsApp ukiwa hapa Bongo

    Wakuu , Bwana mkubwa kaleta tangazo lake, ukisoma line ya mwisho ya tangazo inajieleza vizuri sana.Mi nadhani wadau tujifunze kua hili ni tangangazo sio mada hivyo halihitaji mjadala as long as wateja wake hawajarudi hapa na kulalamika kama wameibiwa.Sio kila tangazo uandike,Kama huna kazi ya...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Host website BURE (First 3 month) ,Reseller Hosting

    Mkuu umepotea? Nahitaji ASAP
  3. P

    JamiiForums Tanzania Host website BURE (First 3 month) ,Reseller Hosting

    Mkuu vipi nikihitaji package ya unlimited Bandwidth? Nina host kwa ISP mwingine vipi utanisaidia kufanya imigration ? Migration itacost kiasi gan? Nimena mna 30 Days Money Back Guarantee ni kweli?
  4. P

    JamiiForums Tanzania MSAADA wa app ya Nyimbo za Wokovu za FPCT

    Mkuu App haiwekwi inatengenezwa .Hata wewe unaweza kua mmiliki wa App hio nipe tenda after 10 days uipate.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Anzisha Mtandao wako wa kijamii sasa na utengeneze pesa

    Database ya madeveloper? Database gani?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Anzisha Mtandao wako wa kijamii sasa na utengeneze pesa

    Mkuu group lipo linaendelea
  7. P

    JamiiForums Tanzania Anzisha Mtandao wako wa kijamii sasa na utengeneze pesa

    Kwetu hapa tanzania sheria hailazimishi mtu kua na kampuni ama kuwa registered ili uwe mmiliki wa social network,Ila policy ya social network yako isipingane na sheria za nchi ama sheria mpya za mtandao. Hivyo unaweza kua mmiliki bila kua registered,lakini nakushauri endapo biashara yako itakua...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Anzisha Mtandao wako wa kijamii sasa

    Majuzi nimetembelewa na PiPiMatch.com nimependa sana kazi wanazofanya,kwani niwatengenezaji wa software na kuziuza kwa bei muruaaaa. Nimependa zaidi offer waliotoa kwa watu wanaotaka kumiliki Social Network. Kwa wale mnaopenda kuanzisha mtandao wenu wa kijamii (Dating site) lakini mmeogopa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Anzisha Mtandao wako wa kijamii sasa na utengeneze pesa

    Majuzi nimetembelewa na PiPiMatch.com nimependa sana kazi wanazofanya,kwani niwatengenezaji wa software na kuziuza kwa bei muruaaaa.Nimependa zaidi offer waliotoa kwa watu wanaotaka kumiliki Social Network.Kwa wale mnaopenda kuanzisha mtandao wenu wa kijamii (Dating site) lakini mmeogopa gharama...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Database administrator

    Mkuu kaz yako inaweza kufanyika pls drop contact yako nikucheck.
Back
Top Bottom