Recent content by Professional Destiny

  1. P

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Yani hata mimi nna wasiwasi hyo, maana mmh wanaweza wakasema aah huyu anakazi tayairi ngoja tumuache.
  2. P

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Naskia hua inachukua 2-4 weeks inategemea na waliopewa tender yakusimamia.
  3. P

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Poa poa, ahsante.
  4. P

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Kabsa, hapo nikuendeleza tu mapambano ila huwezi jua ya Mungu mengi.
  5. P

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Ila nnajiuliza sisi tumeitwa 320 halafu wote ni kesho, nikipiga mahesabu naona kama watatumia kumu interview kila mmoja dakika 1.5 hivi kweli inawezekana au kuna panel nyingi sio moja.
  6. P

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Ahsante sana sana.
  7. P

    JamiiForums Tanzania TRA wameanza kuita watu kwenye usaili

    Yani kabsa wametubania. Hata mimi nashangaa kwanini watu wako kimya. Isitoshe nafasi zetu ni tofauti kwahyo haimanishi wakitudokezea labda tutawazidi. Jamani tunaomba updates wale mulioenda interview jana na leo ili sisi wa kesho tujipange zaidi.
Back
Top Bottom