Niliwahi kuwa na mwanamke yaani ghetto anakuja ila mzigo ananipa napiga kamoja anaondoka yaani hajiachii nikachunguza nikakuta kumbe mgonjwa ana Pelvic Inflammatory Disease (PID) mchunguze huyo huenda mgonjwa usiishie kumlaumu, kama angekuwa hakupendi asingekuja kwako
Tatizo kubwa la walimu wengi wanatoka familia duni, pia hawataki kujiendeleza kielimu. Unamkuta mwl kwao yeye ndo tegemezi na alivyo zuzu anapeleka watoto English medium badala ya kupambana kujenga uchumi. Mbona kuna watu hata hawajasoma na hawajaajiriwa ila wana maisha mazuri tu. Huyo mwl...
Hao walimu unaowazungumzia wa wapi? Mi walimu walonifundisha advance wapo vizuri mfano mwl Sigimba ana VX na shule ya English Medium ipogoro Iringa, Head Master William alonifundisha Njoss ana Range Rover Evoque....Pia kuna Mwl Abuu Maliki ana shule nzuri ya msingi na Secondari. Tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.