Recent content by PROF MUDI DULA

  1. P

    Kumbukumbu kongwe kuliko zote kichwani mwako

    Haya, leo taja kumbukumbu ya tukio kongwe kuikumbuka katika maisha yako, katika utoto wako. Namaanisha, ni tukio ambalo hukumbuki tena tukio lengine kabla ya hilo. Usisahau kuandika angalau kwa kukadiria, muda huo ulikuwa na umri gani.
  2. P

    Nauza vitu used kama dressing table, masofa, sabufa. Angalia bei ni chee

    SABUFA elfu hamsini, DRESSING TABLE (lina mwezi mmoja) laki na hamsini, MASOFA mawili laki mbili na nusu. Kwa mawasiliano ya haraka mudiduladula@gmail.com tupeane namba.
  3. P

    Watoto wa Upanga primary school tumewaokota

    Tunaomba mawasiliano ya mwalimu wowote wa shule hio tufanikishe kuwafikisha watoto hawa.
  4. P

    Natafuta kazi yoyote ya udereva wa gari

    Jamani leseni yangu ni ndogo sana. Daraja 'D'. Ni mzoefu wa miaka mi2.
  5. P

    Natafuta kazi yoyote ya udereva wa gari

    Jamani mimi ni kijana wa makamo, sina kazi yoyote. Nategemea ki leseni changu munisaidie kazi yoyote ya udereva. Iwe kumuendesha mtu n.k. Basi ni p.m munisaidie mwenzenu nimekwama.
  6. P

    Niuzie simu (smartphone) nina 90,000/=Tshs Cash

    Aisee Samsung 8500, bei ni Sh.80,000. Haipungui.
  7. P

    Natangaza Dau la shilingi Milioni 5 kwa atakeyefanikisha hili

    wapi imeandikwa kitambulisho cha kura. Kuwa makini sio unakandia tu.
  8. P

    Rafiki yangu ni mzoefu katika udereva, anatafuta kazi yoyote ya udereva.

    Eee, ndio hivyo. MAWASILIANO: mudiduladula@gmail.com
  9. P

    a

    Natafu
  10. P

    Msaada kwenu tafadhali: Gharama za Passport

    Shukrani sana kwa kunijuza vyema. Ahsante nawashuru kwa wenu wema. Shukrani tena nasema, Mungu wa pekee awape rehema.
  11. P

    Msaada kwenu tafadhali: Gharama za Passport

    Nina imani nitasaidiwa haraka. Naombeni mnijuze gharama na "process" ya kukata paspoti ya kimataifa kwa hapa Tanzania. Nataka kusafiri kwenda Marekani. Jamani nipo "serious", hebu nijuzeni na wala sina maana nyengine yoyote zaidi ya kutaka kujua.
  12. P

    Niuzie simu (smartphone) nina 90,000/=Tshs Cash

    Samsung SGT 8500 sh.elfu 75.
  13. P

    SAMSUNG SGT 8500 YAUZWA elfu 80.

    Haya Tangazo limeeleweka, TMK,DSM.
  14. P

    Jamani natafuta kiwanja.

    Vya vikindu vipo, ila kuna mdogo wangu anataka cha mjini.
Back
Top Bottom