Njia rahisi ya kupunguza hili deni la DOWANS ni kwa baadhi ya wahisika kijitoa katika mgao na hivyo kupunguza jumla ya fedha zinazohitajika kulipwa. Nadhani ndio jinsi Mh Mkono anavyotaka kutusaidia kwa kujitoa au kuwatoa wenzake kwenye mgawo.
Inasikitisha sana kuona wenzetu wakifanya juhudi za makusudi kusonga mbele na huku sisi tukifanya kila jitihada za kurudi nyuma kwa kujiingiza kutumia DOWANS, IPTL, RITES, ATCL. Sijaona masterplan ya DIA na sina uhakika kama itakaribia hata by 10% hiyo materplan ya JKIA.
Nadhani tatizo kubwa ni...
:)Safari ya kutenga mijusi kwenye msafara wa kenge naona ndio imeshaanza!! Nadhani katika historia ya uchaguzi wa Tanzania, 2010 unaweza kuwa mwaka wa kukumbukwa!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.