Msando kwa nini ailipie serikali hizo pesa si angefanya jimbo lake kuwe pepo ya eden yaani watu wajimwamwaye kwenye bustani nzuri yenye maji tele elimu bure afya bure mitaji kwa vijana bwelele usafiri huo,uvuvi,ufugaji,kilimo kwa sanaa,asitubabaishe hapa mwizi mkubwa sana hana lolote atungikwe tuuAmesema ataisaidia serikali kupunguza au isilipe......atalipa yeye! Fedha hizo anazo! Tunamshukuru sana!