Recent content by Prof Maligende

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakatoliki huwa tunajiamini sana na kujihisi tunaweza kufanya Mambo Makubwa Kuliko Wengine?

    Unaposema wasabato sio wakristo una maanisha nini? Kuwakumbusha juu ya sabato takatifu ya Bwana amri ya 4 ya milele zote ambayo ninyi wakatoliki mmeibadili maana kabisa kwa kusema SHIKA KITAKATIFU SIKU YA BWANA badala ya IKUMBUKE SIKU YA SABATO UITAKASE(Kutoka 20:8) na IMESALIA RAHA YA SABATO...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakatoliki huwa tunajiamini sana na kujihisi tunaweza kufanya Mambo Makubwa Kuliko Wengine?

    Lokomotive Wasabato hatuna shida kabisa na ukatoliki zaidi ya kusoma biblia na kuwakumbusheni historia ie njia za zamani zile za mitume na manabii.OVER
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Duh! Norway ambayo inaongoza kwenye kusaidia Tanzania kwa misaada yawapigia makelele

    Safi kabisa REDEEMER kwa mchango wako makini,kwa kweli Wapinzani watazoza sana ila cc tutaenda tu JPM ndiye chaguo letu Yaani 2020 itakuwa hivi;CHAGUA MAGUFULI KAZI IENDELEE
  4. P

    JamiiForums Tanzania January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    ni wivu tu.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amezidi kuthibitisha kwamba yeye ni MWAMBA imara

    Ulichosema ni sahihi kabisa..kama Nyerere alivyosema kwenye mfano wake mmoja hivi, tutasikia maneno mengi sana ya kukatisha tamaa lakini tutaenda tu..hatutatazama nyuma..eg wapinzani walikuwa wakiponda ujio wa ndege eti zina beba mbuzi tu...nadhani mpaka sasa unaweza ona jinsi akili zao...
Back
Top Bottom