Recent content by Prof Janabi wa JF

  1. P

    Hivi paracetamol na Hennessy hawana ugomvi?

    This is real brotherly talk... nimechukua hii.
  2. P

    Hivi paracetamol na Hennessy hawana ugomvi?

    Hizi ndio comment tunaita bro to bro. Thumbs up brother. Niko honest kwa kiasi, kiwango cha uongo kwangu ni 2%
  3. P

    Hivi paracetamol na Hennessy hawana ugomvi?

    Ni kweli... nadhani ni kutokana na ugumu wa maisha ulipo ambao kila mmoja anataka na mwengine naye apitie ili ajifariji
  4. P

    Hivi paracetamol na Hennessy hawana ugomvi?

    Kichwa kinauma aisee, na sijajiingiza nimegonga tu
  5. P

    Hivi paracetamol na Hennessy hawana ugomvi?

    Guys, achana na story kwamba mimi ndio yule mtz aliyewauza watz, haihusiki na mimi, nilichangamsha genge. Nilirudi Tz ili nipate mrembo wa kwenda naye duniani, nikarudi mrembo akazingua nikaona sio kesi, nikasajili namba mpya. Hii namba mpya iko serious aisee, kwanza anapiga kazi zaidi ya...
  6. P

    Ila kuachwa

    Pole kwa kuachwa, Kama una Passport au unaweza kupata Passport, fungua PM tuongee kwa uzuri
  7. P

    Jamaa kapata iphone 17 kiugumu sana

  8. P

    Ili kuongeza fursa za kusoma Post Graduate, Je wagombea urais mtairudisha AIMS?

    Kuendesha bodaboda sio ishu, na hiyo sio kwa maana kuwa elimu yao haina maana, bali matumizi ya wanasayansi nchini bado ni ya kusuasua. Kumbuka AIMS wanaanzia Masters
  9. P

    Ili kuongeza fursa za kusoma Post Graduate, Je wagombea urais mtairudisha AIMS?

    Ili kuboresha elimu Africa washirika mbalimbali wanatoa hela zao kufadhili masomo ya wanafunzi wa post graduate wa hesabu kwa taasisi inayojulikana kama African Institute of Mathematical Sciences (AIMS). Chuo hiki kiko nchi mbalimbali kikichukua wanafunzi wa hesabu na engineering na kuwasomesha...
  10. P

    Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5

    Kosa lingine hakuna Winsconsin University... bali University of Winsconsin. so basically kwa GPA ya 4.5 means umesoma Tz ambao wanatumia 5. Marekani wanatumia 4. Hii ikukae akilini kwanza usidanganye watu humu
  11. P

    Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5

    Tangu lini Marekani wanatumia GPA ya 5??? Hebu amka rudi shule kasome...
  12. P

    Akinisamehe nitalala five stars hotel kwa wiki kujipooza

    Niko bar hapa wanapiga kuachwa! kuachwa! Kuachwa ni shughuli pevu. Miezi kadhaa tulikuwa na mipango ya kutafuta eneo la kupumzika kwa muda kidogo. Tuliangalia maeneo mengi mazuri il ndio hivyo nimekula za uso. Aisee huyu mrembo akisema turudiane, lazima niende sehemu sijawahi kwenda ili tuanze...
  13. P

    Sitaki ushauri, namuomba radhi mpenzi wangu

    Nimesoma mawazo yote kwa uzuri ila ndio hivyo kwa sasa nataka mrembo wangu arudi nyumbani. Gharama ya kuondoka ni kubwa kuliko nikivumilia visa vyake
  14. P

    Sitaki ushauri, namuomba radhi mpenzi wangu

    Aah masuala ya kutoa namba halafu nikute ndio umenichukulia inakuwaje?
Back
Top Bottom