Wadau,
Kwa yeyote mwenye Gaither gospel series hasa videos na ziwe katika softcopy anisaidie ama aniuzie. Kama zipo kuanzia 50 na kuendelea itakuwa vzr zaidi.
Natanguliza shukrani.
Mkuu kwanza hongera kwa kupendwa na shemeji yako ni jambo zuri.
Pili hongera kwa angalau kulileta hili hapa kupata ushauri.
Tatu nakupa pole sana kwa kuwa unachokiendea ni kitu cha hatari sana kuliko unavyowaza. Yaani unatakiwa ukimbia kutoka hili jambo haraka haraka haraka sana. Madhara ya...
Wadau salaam?
Natambua humu jamvini wapo wataalam wa uchumi wabobevu. Sisi wengine si wachumi japo yapo maeneo yetu ambayo tupo vizuri.
Nirudi kwa wataalam wa uchumi, je hichi tunachokipitia sasa ni nini? Ukiniuliza mimi binafsi naona wapo watu biashara wamefunga na wengi wanadai biashara...
Kiongozi point zako ni sahihi kabisa ila application zake ndio changamoto hasa ktk ulimwengu wa dot com. Na hapo uliposema haifai kumfanya mwanamke kuwa lengo maishani ni sawa na kusema usimpe attention ya kutosha na hapo ndipo utamkuta mtaa wa saba. Ukimuuliza mbona pesa na mahitaji yote nakupa...
Ni vzr kuwa unapenda pesa au vitu vya thamani ila hilo halizuii yule anayeweza kuumiliki moyo wako maana moyo haudanganyi kule unakopapenda. Kama hao wameacha hizi alama kwako nina hakika bado unawakumbuka na usikute ushawahi kujuta kumpoteza au kuwapoteza wenye sifa tajwa juu. Ila sio shida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.