Recent content by Pro J

  1. Pro J

    JamiiForums Tanzania matokeo kdato cha sita.

    Hizo cheating tu hakuna kilicho ongezeka , kwanza ukiangalia f za Gs vimetapakaa hata pia kuna waliokuwa na 2 lkn wakapelekwa 3 cos of f ya Gs.Hao ni kujitapa tu ili kulizisha wazazi lisiwe Kama soo la form 4.
  2. Pro J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania nini tofauti ya haya maneno!

    Onyesha ni Hali ya kufanya mtu aone kitu fulani mf,Juma alionyesha kitabu. kwa swala la onesha ni Hali ya kutoa matumizi,sifa,maana na mambo mengine ambayo yanaweza kuoneshwa.Mf,onesha matumizi ya gari kwa nchi ya Tanzania.unaweza ukaulizwa swali Kama hilo.nafikiri umeweza kupata chochote...
  3. Pro J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi tena wanaume basi!

    I like you,umeelezea in a right way kabisa emu try to finish your writing then I will comment something.
  4. Pro J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini maana ya msemo huu?

    Kiswahili ni rahisi sana,haya maana Hii hapaaa. Waheshimu uwategemeao kwa manufaa ya baadaye.
  5. Pro J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa lugha ya kiingereza tu ndio wafunue. For english lang. Specialists..

    Chukua hiyo ndugu,I lost my grandmother
  6. Pro J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafanikio ya lugha ya Kiswahili

    Hii ni hayana tunatawaliwa kuanzia kiuchumi Hadi kiutamaduni,iko kazi watanzania tunabidi tuinuke tufanye kweli tuinue nchi yetu.LUGHA NI KITAMBULISHO CHA JAMII
  7. Pro J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jamani

    Hizo mbembe tu we msaidie if your aware with that variety.
  8. Pro J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najutaaa kuonekana wa kishua

    Acheni kuchagua Topic we msaidie if you like if you don't like kaa kimya.
Back
Top Bottom