Recent content by priva

  1. P

    Gharama za kuleta bidhaa kutoka China

    Nataka kuagiza heatpress machine toka alibaba inauzwa dola 115
  2. P

    Gharama za kuleta bidhaa kutoka China

    Duu kweli mkuu hapo nimegonga mwamba maana nilitaka kuagiza heatpress machine ya kuprint T-shirt huku nimeona inauzwa laki name had milioni na sasa nikaona alibaba inauzwa dola115... ..kumbe gharama za usafiri ni kubwa kuliko hiko kitu ninachoagiza bora niache......
  3. P

    Gharama za kuleta bidhaa kutoka China

    Nimeona machine ya Ku print alibaba inauzwa bei cheap.dola 115 sasa nimeshawishika kununua ...sasa ndio nikapata kigugumiz kwenye gharama za usafiri na kodi zisije kua kubwa nikapoteza pesa zangu... Cjaagiza bado Ila nafikiria kuagiza..naomba uzoefu..
  4. P

    Gharama za kuleta bidhaa kutoka China

    Jamani naombeni msaada, Kwa yeyote aliyewahi kuagiza kifaa chichote au kitu chochote kutoka China chenye uzito wa 30 kg gharama za usafirishaji zikoje?
  5. P

    Jamani kuna mtu anayeijua biashara ya trevo?

    Ningependa kuelimishwa kuhusu biashara ya trevo kama kuna mtu anauzoefu nayo naomba anipashe.
  6. P

    Natafuta shamba la kukodi kwa kilimo cha vitunguu

    Moshi sehemu gani??... Na maji yapo??
  7. P

    Natafuta shamba la kukodi kwa kilimo cha vitunguu

    Nahitaji msaada yeyote anayejua wapi yanapatikana mashamba ya kukodi kwa maeneo ya Arusha. Mashamba yawe na maji. Naombeni msaaada
  8. P

    IRIZI YA KUDUMISHA MAPENZI KATIKA NDOA

    kudumisha mapenzi katika ndoa Katika kujadili mada hii nyeti ambayo inagusa maisha ya kila mmoja wetu kwa kiasi kikubwa nitaijadili katika sehemu kuu tatu. sehemu ya kwanza ya utangulizi kwa ufupi nitaangazia maana ya mapenzi na ndoa kwa ujumla sehemu ya pili nitaangazia vitu vipi vya...
  9. P

    CCM yamgeukia Balozi Sefue; Yadai kauli yake kwa mawaziri mizigo ina ukakasi

    Ccm hamko serious mlianza na kampeni za kuvua gamba na sasa mzigo lakini hakuna kitu
  10. P

    Kwa Mwezi mmoja CHADEMA inapokea Millioni 237, kama ruzuku kutoka Serikalini...

    Na hizo helcopter zinazo paa angani unazani zinatumia maji
  11. P

    Mgogoro wa Meya Bukoba wachukua sura mpya

    Utoyo wa ukulima huku yupo kwenye jumuia ya mafisadi.....hizo swaga tu..
  12. P

    Mgogoro wa Meya Bukoba wachukua sura mpya

    Lazima amshinde kwani wao wote wanajuana wana maboriti machoni mwao iweje waanze kutoana vibanzi
  13. P

    Mgogoro wa Meya Bukoba wachukua sura mpya

    Huyo meya mbona anajiamini sana atakuwa anawajua mafisadi wanaohusika waliomwangushia jumba bovu
Back
Top Bottom